aah hio sio ishu, mi ntakachokuta mezani ndo ntatumia, kwanza mi hua sinunui hua ananunua yeye so vile vinavyopakika kwangu hua napaka labda kama ni enjofeici, lipshine na vingine vya kwake peke yake! the rest hua natumia tu, vipodozi!!! sio zile towel za kila mwezi usije nielewa vibaya