Simulewi mwanaume huyu!!!!

Simulewi mwanaume huyu!!!!

mh jamani kaka ellia!wewe si unatafuta mke wewe! na umewaambia watu walete cv sasa huyo unayeshea nae vipi?
nauliza tu jamani
aah hio sio ishu, mi ntakachokuta mezani ndo ntatumia, kwanza mi hua sinunui hua ananunua yeye so vile vinavyopakika kwangu hua napaka labda kama ni enjofeici, lipshine na vingine vya kwake peke yake! the rest hua natumia tu, vipodozi!!! sio zile towel za kila mwezi usije nielewa vibaya
 
Back
Top Bottom