SIMULIZI: Asali haitiwi kidole

SIMULIZI: Asali haitiwi kidole

ASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA PILI
MTUNZI: edgar MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.
ILIPOISHIA SEHEMU YA KWANZA: Wote walikuwa wenye hasiri ya weusi, lakini awa dada wawili walikuwa wamejipamba wakapambika, na kufanya ule msemo wa usichague mke ngomani utimie, maana licha ya kuwa walikuwa ni wazuri kiasiri, na wenye kuvutia lakini siyo kama Radhia, huyu alie kaa hapa kibarazani, ila walizidi kupendeza kwa mapambo walivyo jiweka, SASA ENDELEA….

Yote kwa yote wote watano, walikuwa wamepeza kwa mavazi yao maalumu kwaajili ya siku kuu, wanakuja na kusimama kibarazani, “Hadija, mwage shangazi mwambie tunaenda kutembea” alisema mmoja wao, yani yule wa miaka ishilini na moja, huku akimwambia binti mdogo wa miaka mitatu, ambae aliishia kujitabasamulisha bila kuongea lolote.

Hii inamfanya Radhia ahisi kama ni dhihaka, maana licha ya kujuwa anasemwa yeye, lakini niwazi iliwaumiza sana wadogo zake, anashindwa kusema lolote, anaishia kutabasamu, lakini moyoni mwake anahisi uchungu mkubwa sana.

“yani da Mariam ulivyopendeza, Mahamud akikuona anaweza kukusahau” alisema mwanamke wa miaka 21, yani yule mdogo, kwa sauti utani, “anaanzaje kusahau mali yake bwana, ebu achana utani, mwenzio ananijuwa nje ndani” alijibu yule alie itwa Mariam, kwa sauti iliyojaa nyodo, wakati huo huo simu yake inaita.

Mariam anatazama jina mpigaji, anaona ni Mahamud, “huyooo mume anapiga simu” anasema Mariam, huku anaachia tabasamu pana, kisha anapokea simu kwa mbwembwe akimkata jicho la pembeni dada yake mkubwa, “niambie mume wangu, mpo wapi?” anauliza Mariam kwa shahuku, na wakati huo huo kwambali wanatokea vijana wawili, walio valia suruali zao za jinsi na matishert ya rangi tofauti mmoja likiwa jeusi na mwingine likiwa jekundu.

Awa walikuwa na umri wa miaka kati ya ishilini na mbili mpaka ishilini na tano, ambao wanaonekana wakinyoosha mkono kwambali, “waleeeee” anasema yule wa miaka ishilini na moja, kwa sauti yenye shahuku, huku anashuka kwenye ngazi, akiwa amemshika yule mtoto mdogo, kuliko wote, yani Khadija, na kuanza kuongoza kule waliko wale vijana, akifwatiwa na wale wengine wawili, “ok!, tunakuja” alisema Mariam, huku na yeye anashuka kwenye ngazi za kibaraza, akiwa nyuma ya wenzake.

“sasa Da! Radhia, sisi tunaingia zetu forodhani, tuta kukuta jioni” alisema Mariam, huku anatembea kwa kunyata, kama anavuka eneo lenye tope, ni kutokana na kuto taka viatu vyake vipya vichafuke.

Radhia ajibu chochote, zaidi anazidi kuumia moyoni, maana kila alicho ambiwa aliona kuwa ni kebehi zidi yake, na nimaumivu kwa wadogo zake, maana hayo ni maisha ambayo, amekuwa akiishi na ndugu zake, watoto wa mke mkubwa wa baba yake.

Hii ni tangu alipo arudi toka michenzani tobo la pili, alikokuwa anaishi na mume wake zamani, bwana Issa Kiparago, alie mtariki kwa taraka tatu, mwaka mmoja ulio pita.********

Familia ya mzee Abeid Ally Makame, ni familia ya wake wawili, kama nilivyokudokeza hapo mwanzo, mmoja mwenye asiri ya Africa hasiria, na mwingine alikuwa na hasiri ya mbali ya uchotara, namaanisha kuwa, toka alipozaliwa chotara wakwanza, sasa vilisha pita vizazi zaidi ya vinne, mpaka mama yake Radhia.

Mzee Abeid amejaliwa kupata watoto saba kwa wake zake wote wawili, wakati bimkubwa akiwa amezaa watoto wanne, mmoja Himid akiwa ndie kwanza, na sasa anaishi Oman, anakofanyia kazi, yeye na mke wake, huku watoto wake wawili wakiwa hapa kwa baba yake.

Pia wanawake watatu kwa mke mkubwa, yani Siwema, ambae ndie dada mkubwa, anae kaa kwa mume wake, kule Marindi, ambae pia kwa sasa mume wake yupo Oman anakofanyia kazi, ambayo inasemekana ni kazi ya kutunza bustani ya kwenye nyumba ya mtu binafsi.

Siwema nae anamtoto moja ndie huyu Khadija, ambae yupo na mama zake wadogo, yani Mariam na Zuhura, ambao ni wapenzi na shabiki wa mitandao ya kijamii, mida mwingi ushinda pamoja, huku wakishindana kujilemba, na kupiga picha, ambazo uzipost mitandaoni, huku wakichati na marafiki zao wakiume.

Kwa upande wa mke mdogo, yeye alikuwa na watoto watatu tu! Hakuwa na mjukuu wala kitukuu, mtoto mdogo kabisa alikuwa ni huyu Zahara, aliekuwa anasoma darasa la tatu shule msingi Jang’ombe, kaka yake Mukhsin, yeye alikuwa anasoma kidato cha tatu shule ya sekondari ya Nyuki, pia alikuwa mchezaji mzuri wa mpira wakikapu, yani basket Ball, ushiriki mazoezi kwenye viwanja vya maisala au kule nyuki, karibu na kambi la jeshi la Idd Ba Vuai Camp.

Mtoto mkubwa kabisa alikuwa ni huyu Radhia, ambae aliolewa mapema kuliko ata dada yake Siwema, lakini maisha yake yaliingia kwenye shida kubwa, mala baada ya kupewa taraka na mume wake, tuangalie ilikuwaje.

MWAKA MMOJA NYUMA: Kipindi hicho tayari Radhia alikuwa amekaa kwenye ndoa yake kwa muda wa miaka miwili, maana aliolewa akiwa na miaka ishilini nambili tu, ilikuwa ni mala tu baada ya kumaliza shule ya sekondari, kidato cha nne, na kupata matokeo ya division 3.

Akiwa kama mwanamke ambae, alie lelewa katika maadiri mazuri, na kuwa binti mwenye nidhamu na heshima kubwa, kiasi cha kila mmoja kutoa sifa ya kuwa, Radhia alikuwa ni mwamke wa mfano, na kumtamani kwa namna tofauti tofauti, ikiwa wanawake wenzake walitamani kuwa kama Radhia, au kuwa karibu nae kama rafiki, pengine ingewaongezea thamani yao.

Huku wanaume wakitamani angarau na mke kama Radhia, kama siyo dada au binamu, ilimladi kila mmoja alitamani kitu toka kwa mwanamke huyu, ambae ukiachilia uzuri wa umbo lake, sura, sauti na rangi ya ngozi yake, pia alikuwa na tabia nje, mtaratibu na mpole, asie na majivuno wa kiburi.

Lakini yote kwa yote, bahati ikamdondokea bwana Issa Kiparago, ambae anamkuta mwanamke huyu akiwa bikira, kwa maana akuwai kushiriki tendo la ndoa mpaka pale walipofunga nae ndoa, ni zama ambazo zinaanza kusahaulika kwa sasa, kiasi kwamba ukibahatika kumkuta mwanamke wahivyo unajiona shujaa.

Mwanzo maisha yalikuwa mazuri, akiwa mke wa pili wa mume wake Issa kiparago, mkazi wa mtaa wa michenzani tobo la pili, ambae tayari alikuwa na watoto wawili kwa mke wake wa kwanza.

Lakini mambo yalianza kuwa tofauti kidogo, baada ya mwaka mmoja kupita, bila dalili ya Radhia kushika ujauzito, mume wake akianza kwa kupunguziwa fedha za matumizi, asa zile za mahitajio yake binafsi, pamoja na kunyimwa huduma za ziada, kama vile pesa ya nguo mpya, fedha za vipodose na manukato.

Pia hapakuwa na mtembezi ya siyo ya lazima, yani kama ilivyokuwa mwanzo yani matembezi ya pamoja na mume wake, kwenda sehemu mbali mbali, asa siku za siku kuu, na ata ikitokea Radhia akaumwa, basi angeenda mwenyewe hospital, na siyo kupelekwa na mumewe, kama ilivyokuwa kwa mke mkubwa, ambae aliendelea kupata kila kitu, na mapenzi moto moto kama zamani.

Siku zilivyo sogea ndivyo visa zaidi vilijitokeza, na sasa alikuwa akifake sana, kama angefanya kosa dogo, angeambiwa, “kama ujazaa uwezi kuwa na akili za kiutu uzima ata siku moja” hakika kauri hii, ilimfanya Radhia, ajione mwenye mapungufu makubwa sana, lakini aliendelea kuvumilia.ENDELEA…. KUFWATILIA HADITHI HII YA #ASALI_AITIWI_KIDOLE,
JINA TU LINA TIA UVIVU KUSOMA HALINA MVUTO.
 
ASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA MIA MOJA ISHIRINI NA NNE
MTUNZI: edgar MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.
ILIPOISHIA SEHEMU YA MIA MOJA ISHIRINI NA TATU: “chanzo ni chuki ambayo tumeirithi toka kwa mama, zidi ya mama mdogo” alisema Siwema, ambae mpaka sasa anaonekana kujutia kile alicho kifanya mpaka kumletea madhara makubwa, na doa kubwa katika maisha yake. ........ ENDELEA….


Mzee Makame anamtazama mke wake mkubwa, ambae sasa anaonekana kabisa kutaka kuanza kujitetea, “nazani umesikia mke wangu, na kabla sija mchumbia mama Radhia nilikuomba luksa na wewe ukakubari, sasa sitaki kuona chuki ya aina yoyote zidi yake, isitoshe tumesha ishi miaka mingi sana, aina aja ya kuendelea kugombana” alisisitiza mzee Makame, kabla ya kufunga kikao na kuwa luhusu wanafamilia wasogee mezani kwaajili ya chakula.*********


Naaaaam! Idd Kiparago anajikongoja kwa kuchechemea, huku anaikokota baskeri yake kwa tabu, kutokana na maumivu ya mguu na kiuno, akikatiza dukani kwa sharifu, ambako leo alikuta pamefungwa mapema sana, akujuwa wala hakuwa na sababu, ya kujuwa ni kwanini pamefungwa mapema namna ile.


Idd anavuka nyumba mbili tatu, huku akiombea watu wasimwone na kumwuliza kwanini anachechemea, maana jibu lake lingekuwa gumu sana, au pengine angeshindwa kulitoa, maana alikupendeza masikioni mwa watu.


Idd ambae alisha sahau ujio wababa yake usiku huu, anaibukia kwenye nyumba yake, nyumba ambayo aliachiwa na baba yake baada ya kuamia mchamba wimba, anakuta papo kimya, Idd anaegesha baskeri yake kiambazani, na kuufwata mlango ambao anaufungua na kuingia ndani na kuwasha taa za sebuleni na zile za nje.


“jamani twendeni ndani nazani amesha rudi” Idd alisikia sauti ya baba yake mzazi ikisikika toka upande wa uwani, yani nyuma ya nyumba yake, ikifwatiwa na vishindo vingi vya watu ikadhaa, waliokuwa wanakuja upande wa mlango wambele wa nyumba ile, huku wakiongea ili na lile.


Idd licha ya kukumbuka ujio wa baba yake, ambae alimjulisha toka mapema, lakini Idd anashangaa kidogo kama siyo kushtuka, maana akuzania kama baba yake angeongozana na watu wengine, kuja nyumbani kwake.


Sekunde chache baadae tayari watu walikuwa mmlangoni, “hodi humu ndani maana tumesha kuwa wageni tena” ilisikika sauti ya mz4ee kiparago mwenyewe, ambae alikuwa mbele, Idd ambae akufunga mlango wa mbele, maana alikuwa ajaingiza baisker yake ndani, akiwa ameshangaa anatazamamlangoni, akaanza kuwaona watu wanaingia ndani wakinfwata baba yake.


Nyuma ya baba yake, kijana Idd anamwona mshenga wake, alie fwatiwa na Ashura na mama yake Ashura, pamoja na mama yake Idd, yani mke wa mzee kiparago, wakiwa na Aziza, na mume wake.


Pamoja na hao, pia alikuwepo baba yake Ashura, na wazee wengine wanne wawili wa hapa michenzani na wawili wa kutoka mchamba wima, pia na watoto wawili wadogo, walio pishana kwa miaka mmoja wa kuzaliwa.


Hao ni Khamis na Rehema, ni watoto ambao mpaka sasa watu wengi wanafahamu kuwa ni watoto wa Idd na Ashura, ujio ambao ulimshtua sana Idd, hakika alitegemea kumwona baba yake pekee, na siyo watu hao wote.


Idd anapata wazo la kuwa, pengine Ashura baada ya kuona amegundulika ujinga alio ufanya, wakulala na mwanaume mwingine siku ya kwanza kutoka hospital, ndio amewabeba watu wote hawa, kuja kuomba msamaha.


Idd anaonakuwa kama ni hivyo, basi Ashura anataka kumkosesha fedha nyingi, “ata semeje hapa, siwezi kukubari kumsamehe kirahisi” anawaza Idd huku anamtazama Ashura kwa jicho kali, wakati huo mtoto Ashraf alikuwa ameshikwa na bibi yake, yani mama yake Ashura.


Kitu ambacho uwezi amini, Idd alisahau kama kuna kusalimiana, maana mpaka wageni wanakaa kwenye kwenye mkeka, sababu hapakuwa na makochi ya kuwa tosha, Idd akukumbuka kusalimia ata mala moja.


“asalm aleykum Idd” alisalimia baba yao wakina Ashura, na kumzindua Idd toka kwenye mshangao, “alekum salaam” lakini licha kuitikia salam ule, wala akujisumbua tena kusalimia, zaidi alimtazama Ashura kwa macho makali sana.


“bwana Idd, nimedokezwa kuwa ujio wetu jioni hii, umekuwa wakushtukiza, ndio maana tukabakia wenywe kukusubiri” alisema mzee mmoja ambae ni mshenga wa Ashura na Idd.


Idd anaendelea kutulia akisubiri sehemu ifikie, ili awaonyeshe kama yeye siyo mwepesi wa kutoa msamaha, maanaa ata anapo mwona Aziza ndio kwanza anapandwa na hasira, kwa kile alicho mfanyia asubuhi pale nyumbani kwake.


“ni kawaida yetu kama kuna jambo limetokea, basi uwa tunaitana na kuliweka sawa, kama tulivyokuja leo” alisema mshenga, huku wote wakiwa kimya wanamsikiliza.


Mshenga nae akaendelea, “leo nimepigiwa simu mapema na baba mkwe wako, akinitaka tuje hapa kwako kwamba kuna jambo mkeo anataka akueleze…….,” alisema mshenga, ambae kiukweli akupewa nafasi ya kumaliza kusema.


“mzee naomba uishie hapo hapo, ili swala aliwezi kuisha hivi hivi, namtaka kwanza huyo mshenzi mwenzie aje hapa, ndio tuanze kuongea, vingenevyo siwezi kumsamehe mtu” alisema Idd kwa sauti isiyo na kificho cha hasira.


Kila mmoja anamtazama mwenzie wa jilani yake, kwa macho ya mshangao, kabla awaja mtazama Idd, ambae anaonekana amfula kwa hasira, shavu lake la upande mmoja likiwa limevimba kiasi, mfano wa mtu alie ng’olewa jino.


“Idd sidhani kama unafahamu tunacho kiongelea ni vyema kama ungesubiri kwanza ili ujuwe mkeo anataka aseme nini?” alisema yule mzee, ambae ni mshenga wao, Idd anajisonya kidogo, “najuwa anataka kudanganya tu, hana lolote nataka amlete huyo mshenzi mwenzie” anasema tena Idd, kwa sauti ile ile ya ukali.


Wageni wengine walikuwa wametulia kimya wakimwachia mshenga amtulize Idd, “sikia Idd jaribu kuheshimu watu waliopo hapa, wao wamekuja kwa jambo lao, kama ungekuwa unamtaka huyo unae msema si ungemwita mapema” alisema mshenga kwa sauti ya ukali kidogo, na safari hii Idd akatulia kweli, japo alionekana akihema juu juu kwa hasira.


Baada ya kuhakikisha Idd amekubari kusikiliza, ndipo mshenga alipo endelea, “aya mama umesema unajambo lako la kutueleza, na kumweleza mumeo mbele yetu, tunakusikiliza sasa” alisema mshenga, na hapo Ashura akapewa nafasi.


Kwanza Ashura alimtazama mama yake, kama vile anaomba msaada, kisha akamtazama Idd, ambae ni mume wake anae amini kuwa wamezaa watoto watatu, yani wakina Rehema na huyu mdogo Ashraf, anamwona Idd amekata jicho la hasira.


Ashura anapiga moyo konde na kuanza kueleza, “kwanza samahani wazee wangu kwa haya nitakayo yaeleza hapa, hakika nitakuwa na makosa mengi sana, lakini sikuwa na namna zaiya……,” hapo Idd alie juwa kuwa, Ashura yupo hapa kuomba msamaha, kwakile kilichotokea usiku wa kuamkia leo, akumpa Ashura nafasi ya kumaliza kuongea.


“nasema hivi kama ni swala la kuomba msamaha, aliwezekanai mpaka huyo msherati mwenzio awepo” alisema Idd kwa sauti yenye hasira kali, nakuzidi kuwa shangaza watu.


Neno lile la msherati lina muumiza sana Ashura, na watu wengine, asa wale ndugu wa Ashura, Ashura anawaza kuwa yeye na baba watoto wake, yani Shaban, wanaitwa washerati mbele ya watoto.


Hapo na yeye anainua uso wake, na kumtazama Idd kwa macho makali, “sijaja kuchukuwa taraka yangu” sauti ya Siwema inasikika masikioni mwa Idd, na kumfanya Idd ashtuke, na kuganda kama mtu alie pigwa na short ya umeme. ........ ENDELEA…. KUFWATILIA HADITHI HII YA #ASALI_AITIWI_KIDOLE, HAPA HAPA jamii forums
Nimesoma hapa jifunze kutumia L na R*LUHUSU=RUHUSU
BAISKER=BAISKELI
 
Nimesoma hapa jifunze kutumia L na R*LUHUSU=RUHUSU
BAISKER=BAISKELI
Ukimaliza sasa tupo huku na tumefanya marekebisho yote

 
Wazanzibar ndo zao kama Idd,
Kuna mjinga mmoja toka huko alinipiga vita kazini kwa mzungu mmoja mwanamke,
ikabidi niondoke, ila kabla hajaja mi na yule mama kazi ilikua njema sanaa.
Alikua shemeji yake kakaake alikua Ughaibuni.
So sishangai, wanaume huko ni kama watoto wa kike tu kwa umbea hawafai.
Kosa la mtu mmoja usitujunuishe sote tutakuja kukushona kileja wewe
 
Back
Top Bottom