Simulizi: Before I die

someni haraka ili ni bwage story nyingine wakati tukimsubilia PENIELA .ni bandika banduaa.

bila kusahau kufanya kazi kwa bidii.maana ukitumbuliwa huko usije kuizingizia JF

HAPA RIWAYA TUU
Shukran kwako LEGE
 
someni haraka ili ni bwage story nyingine wakati tukimsubilia PENIELA .ni bandika banduaa.

bila kusahau kufanya kazi kwa bidii.maana ukitumbuliwa huko usije kuizingizia JF

HAPA RIWAYA TUU

Dah! Nzuri hiyooooo. Japo nimeota mindoto ya ajabu balaa. Shusha nyingine tena. Uweke kwa spidi kama hii maana sijaingia Insta wala FB kwa siku hizi
 
someni haraka ili ni bwage story nyingine wakati tukimsubilia PENIELA .ni bandika banduaa.

bila kusahau kufanya kazi kwa bidii.maana ukitumbuliwa huko usije kuizingizia JF

HAPA RIWAYA TUU
Ahsante sana, hatimaye nimemaliza, ni kweli Mungu yupo wale wamuabuduo katika roho na kweli hakika hatawaacha wala kuwapungukia. Ni fundisho kubwa sana kwa wale wanaopenda utajiri usio na jasho, fundisho mmelipata kutoka kwa Latoya..... Mungu atusaidie kuridhika na hali ya maisha tuliyonayo
 
NGOJA TUWASUBILI WADAU WENGINE TWENDE SAWA

Mkuu Binafs nimemaliza nasubiria kijacho usisahau kunistua
Ila mkuu napendekeza Upewe Nishani ya heshima humu Jf coz unarahisisha Mambo
Baada ya Noti kubwanwa siku hizi Mitoko imepungua hivyo kifanyikacho ni kukaa Bustanini na Kusoma Riwaya
Kwa hilo Unastahiki Tuzo
 
Story kuntu sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…