Simulizi: Kijiji cha Wakamoto na hekaheka za Gerbet

Simulizi: Kijiji cha Wakamoto na hekaheka za Gerbet

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
WAHUSIKA
Gerbet == Gily
Mkuu wa kituo == mshamba_hachekwi
Muuza mahindi == Analyse

Wahusika wengine watakuja mbeleni

KIJIJI CHA WAKAMOTO:

Kijana msomi Gerbet anamaliza masomo yake ya udakatari na kupangiwa katika kijiji kiitwacho WakaMoto kwa ajili ya kupata kazi hapo, safari inaanza kutoka dar es salaam yalipo makazi ya wazazi wake Matajiri na Waheshimiwa katika vitengo vya juu serikalini, mpaka Shinyanga ardhi ya kijiji hiko ambacho kimetawaliwa na Wasukuma

Aliripoti kazini saa 8 mchana baada ya kutumia usiku wa jana safarini na kuwasili ahsubuh na katika michakato ya kufika, kijana msomi huyu anajitambulisha kwa mkuu wa kituo hiko

Mkuu wa kituo: Aaaa Mwarabuu karibu sana
Gerbet: Mkuu naitwa Gerbet na si Mwarabu
Mkuu wa kituo: Ndio ishakuwa nickname yako hii no discussion kwa mtoto mweupe wewe utayaweza maisha ya kijiji hiki?
Gerbet: Nitapambana tu maana hata kuja huku ni kazi tosha kutoka kwa wazazi wangu kunikataza sana
Mkuu wa kituo: Mwarabu Hongera sana, kunanyumba kidogo ipo mbali na kota za wafanyakazi ila hipo ndo utakapo ishi, kama unakitu unataka kununua tunaweza kwenda maana mwenyewe naenda kunyoosha miguu sokoni huko
Gerbet: Sawa Mkuu twende

Safari ilianza kutoka kituo cha kazi mpaka sokoni,
Gerbet: Kiongozi nahitaji masofa, kabati na kitanda + godoro lake pia na redio, umeme si upo?
Mkuu wa kituo: Ndio umeme uwakika mzee ila ukikatika unakaa mpaka wiki haujarudi
Gerbet: Nahitaji na solar

Bidhaa hizo zote zilinunuliwa na kupakiwa kwenye gari aina ya kirikou, oooh muhindi Oya unauza shilingi ngapi?
Muhindi mzima miambili tu
Gerbet: Duuh huku vitu cheap sana ?
Muuza muhindi: Cheap ni kule chini mkuu kuna nyoka hatari
Gerbet: Namaanisha mnauza bei rahiai mjini huu buku mzee, hebu nipatie
Muuza mahindi: Aaaa ngoja nikufungie
Gerbet: We usifunge wala nini, weka pilipiki na ndimu kidogo
Muuza Mahindi: duuuh pilipili tangu lini na mahindi
Mkuu wa kazi: Oya mwarabu chapu basi gari inaondoka au utatukuta
Gerbet: Oya ela hii yapo (huku akipokonya muhindi na kutupa maganda yake)
Muuza mahindi: Funika muhindi huo
Gerbet: Naukamua hivihivi raha ya ndizi kumenya maganda

Gerbet alianza kuutafuna muhindi huku akitembea katika lindi la watu na kupanda kwenye gari kisha gari lilitoweka kupeleka vitu vya Gerbet katika ghetto lake jipya.

PuuuuuuuuuuuuuuuuuupyuuuuuuuuuuuuuuuuupPratatatataatatatatatatatatpuuuuuuupyuuuuuuu

(MLIO ULISIKIKA)

Mkuu wa kituo: Naona umeshiba sasa😂
Gerbet: Mkuu brake zimezidiwa 😞, Mamaweee Mkuu cheki tumbo langu limekuwa kama Tikitimaji limejaa nini ghafla hivi?
Mkuu wa kituo: 😂😂😂😂😂😂😂 hahahahahahahbahahahahahhahahha

PuuuuuuuuuuuuuuuuuupyuuuuuuuuuuuuuuuuupPratatatataatatatatatatatatpuuuuuuupyuuuuuuu

(MLIO ULISIKIKA)

Mkuu wa kituo: Jikaze basi Mwarabu
Gerbet: Sio kama nafanya makusidi, breki hazishiki tumbo limejaaa gesi mkuu
Mkuu wa kituo: Sinilikuambia utawezana na hiki kijiji cheki tumbo lako sasa
Gerbet: Mamaweeeeeeeeeeeeee Nimekuwa Mjamzito (Akilalama kwa sauti kubwaaa)
Mkuu wa kituo: Hiyo inaitwa Welcome Student 😂😂😂😂
Gerbet: Ndio nini?
Mkuu wa kituo: Wamekukaribisha shuka sasa tumefika

Gerbet ilibidi aruke kutoka juu ya gari mpaka chini ile kutua tuuu 👇👇👇

PuuuuuuuuuuuuuuuuuupyuuuuuuuuuuuuuuuuupPratatatataatatatatatatatatpuuuuuuupyuuuuuuu
PuuuuuuuuuuuuuuuuuupyuuuuuuuuuuuuuuuuupPratatatataatatatatatatatatpuuuuuuupyuuuuuuu

PuuuuuuuuuuuuuuuuuupyuuuuuuuuuuuuuuuuupPratatatataatatatatatatatatpuuuuuuupyuuuuuuu
PuuuuuuuuuuuuuuuuuupyuuuuuuuuuuuuuuuuupPratatatataatatatatatatatatpuuuuuuupyuuuuuuu
PuuuuuuuuuuuuuuuuuupyuuuuuuuuuuuuuuuuupPratatatataatatatatatatatatpuuuuuuupyuuuuuuu

(HUU SIO MLIO NI MILIO ILISIKIKA NA SURUALI ILISHINDWA KUHIMILI IKAAMUA KUCHANIKA ILI IPISHE GAS YA MTWARA ITOKE KWA KUJIACHIA)

Gerbet: Naumia Mkuu
Mkuu wa kituo: Mwarabu wahi chooni unatuharibia hali ya hewa unakuwa kama sio daktari

Gerbeti huyo sakantupele tupele speed 120 Mpaka chooni, huuuuwiiiiii(kashushapumzi baada ya kufika salama chooni)

Pratakapatakrapatapapratataaaaaaaaaaaaaaaa
(Uharo mmoja amazing aliushusha)

Mkuu wa kituo: Umekumbuka kushusha suruali kweli Mwarabu
Gerbet: Mama Yangu
Mkuu wa kituo: inalilah wainarilah rajuun 😂😂😂 Mwarabuuuuuuuuuuu
Gerbet: Mkuu Nafanyaje sasa?
Mkuu wa kituo: Kwanza mbona umeingia bafuni? choo hukuona
Gerbet: Jesus Why meeeeeeeeeeeeeeee
Mkuu wa kituo: 😂😂😂😂
Gerbet: Mkuu naungua fanya mpango wa maji basi
Mkuu wa kituo: Me sio mkeo ngoja nitafute mtu utamlipa
Gerbet: Sawa

4:30 HOURS LATER

Mkuu wa kituo: Maji haya hapa
Gerbet: Kimyaaaaaaaaaaa
Mkuu wa kituo: Mwarabu maji haya bwana
Gerbet: Kimyaaaaaaaaa
Mkuu wa kituo: Oya ndo ushadanja kwa harufu ya output ya muhindi?
Gerbet: Kimyaaaaa

Oya Inabidi tufungue mlango, duuh jamaa kazimia chooni, ilibidi mkuu wa kituo alipe watu ili wafanye usafi wafue na suruali jamaa kaogeshwa hajielewi na kulazwa msafi kabisa

HUU NI MKASA WA KIJIJI WAKAMOTO NA MAHANGAIKO YA GERBET

ITAENDELEA
 
Back
Top Bottom