Simulizi kumi kali nilizowahi kuzisoma hapa JamiiForums

Nilikua na uwezo mkubwa sana wa kusoma na kujisomea ila currently nimekua mvivu mvivu sijui ni uzee unaninyemelea au majukumu na Umri☺️😊🤓

Ntajitahid kuzisoma zote inshallah
 
Nilikua na uwezo mkubwa sana wa kusoma na kujisomea ila currently nimekua mvivu mvivu sijui ni uzee unaninyemelea au majukumu na Umri[emoji3526][emoji4][emoji851]

Ntajitahid kuzisoma zote inshallah
Jitahidi hakika hautajutia
 
Mikeka ikishachanika!... Hizi hadisi sio tu haziingii kichwani!... Bali mzuka huwa haupo!
 
Uliipata hii riwaya ama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…