Simulizi kumi kali nilizowahi kuzisoma hapa JamiiForums

Simulizi kumi kali nilizowahi kuzisoma hapa JamiiForums

Mimi nishakuwa sn addicted na story mbali mbali humu..ila ktk zote hizo nimevutiwa sana na hizi:
01.Peniela(Patrick Ck)
02.Anga la washenzi(S.Mollel)
03.Vipepeo weusi(Habib Anga)
04.Siri (Patrick Ck)
05.Tai kwenye mzoga(kevin Mponda)
06.Ufukwe wa Madagascar (Kevin Mponda)
07.Nyuma yako (S.Mollel)
08.Mkufu wa malkia wa Goshen(S.Mollel)
09.Baradhuli mwenye mikono ya chuma(S.Mollel)
10.Mauaji ya kasisi ...
Ukizisoma hutojutia muda wako....
Mkuu naweza pata link ya "Vipepeo weusi"?
 
Wakuu wekeni link za story ili tutelezeee tu
 
Link n hzo
1. Modern war- vita ya kisasa
2. Sasha mlinzi wa nafsi

Story kali sana hz
 
Mkuu naweza pata link ya "Vipepeo weusi"?
 
Back
Top Bottom