Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Powa mkuu"Tulichomfanya Yule mchawi hatakuja kusahau kamwe"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Powa mkuu"Tulichomfanya Yule mchawi hatakuja kusahau kamwe"
Jamaa anazo story mbili na zote ni kali kuliko story zote nilizowahi kusoma jf. Zote za kweli na amesimulia mwanzo-mwisho."Tulichomfanya Yule mchawi hatakuja kusahau kamwe"
Simulizi ipi nyingine nzuri umewahi kuisoma humu JF?Jamaa anazo story mbili na zote ni kali kuliko story zote nilizowahi kusoma jf. Zote za kweli na amesimulia mwanzo-mwisho.
UMUGHAKA MZEE WA KUZUGIA
Unataka nikutajie zote nilizowahi kusoma ili usome au unataka kucompare na hadithi za UMUGHAKA ?Simulizi ipi nyingine nzuri umewahi kuisoma humu JF?
Hizo zote nimezisoma na ninadiriki kusema ni nzuri kwa kweliMimi nishakuwa sn addicted na story mbali mbali humu..ila ktk zote hizo nimevutiwa sana na hizi:
01.Peniela(Patrick Ck)
02.Anga la washenzi(S.Mollel)
03.Vipepeo weusi(Habib Anga)
04.Siri (Patrick Ck)
05.Tai kwenye mzoga(kevin Mponda)
06.Ufukwe wa Madagascar (Kevin Mponda)
07.Nyuma yako (S.Mollel)
08.Mkufu wa malkia wa Goshen(S.Mollel)
09.Baradhuli mwenye mikono ya chuma(S.Mollel)
10.Mauaji ya kasisi ...
Ukizisoma hutojutia muda wako....
Nizisome chief..napendelea simulizi nzuri sana
Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane. Miaka ya fulani baada ya kumaliza shule ya sekondari,niliamua kwenda kumsalimia Ba'mdogo aliyekuwa mkuu wa shule fulani ya sekondari hapo kwenye hicho kijijini. Wana kijiji walikuwa wakimpa heshima kubwa Ba'mdogo kwasababu wanafunzi wote waliosoma...www.jamiiforums.com
Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane! Kwenye haya maisha kuna wakati huwa ninakaa chini na kusema "Kama sikufa kipindi kile,basi siwezi kufa mpaka Mungu atakaporuhusu" Nadhani wengi mtakumbuka ni siku chache tu zimepita nimeandika kisa cha maisha ambayo nilikutana nayo wakati nikiwa...www.jamiiforums.com
Hizo hapo, soma
Njoo inbobo nikugawie kitabu chake ni balaaAsante. Hii niliisoma pia ila nadhani haikufikia mwisho iliishia njiani.
Hii n fire“Nilimdhania kahaba kumbe bikra” simulizi ya kijasusi bado inaendelea
Hii n fire