Simulizi: Lisa

Ivi kutabasam vibaya ndo aje jamani???[emoji2] stori ina viswahili hii..
Inaniibia muda kichiz

yan unalazimisha kutabasamu let say hukujisikia kucheka ila inakubidi tuu ucheke asa inakua ni ya kulazimisha ko haiwez kuwa nzurii
 
vumilieni tuu hata mimi na [mention]mireille [/mention] tunateswa na huyo mwandishi hatarii leo wiki ya 3 hapatikani[emoji29][emoji29][emoji29]
We acha tu mwandishi Hadi apatikane tushachoka
 
yan unalazimisha kutabasamu let say hukujisikia kucheka ila inakubidi tuu ucheke asa inakua ni ya kulazimisha ko haiwez kuwa nzurii
[emoji1787]mtafsiri katika ubora wako
 
Simulizi za style ya zile za kichina na kikorea online novels chapters maelfu, huyu mengi amefafana na baadhi ya hizo online novel kwa story zake alichoandika Kiswahili au kitranslate then anabadilisha.. pengine anakosea alichosema kabla kama mtaa wa Oysterbay.

Ila hongera kwake kwa kazi hii maana inahitaji muda, na anaona anauza. Labda akasitishe mahala amalize aanze simulizi lingine..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…