Simulizi: Lisa

Simulizi: Lisa

kwan hujampata mwandishi mpaka sasa???
inawezekana kuna namna hutaki kuendeleza ili tu tuwasiliane na huyo anayejiita mwandishi wakati kaiba kazi ya watu. Nimempigia simu hapokei, messages za kawaida na telegram hajibu. Ni upuuzi.
 
Sidhani Kama Chubbylady hataki kuendeleza ila shida ipo kuwa telegram story imekuwa pinned haiwezekan ku-copy mbona ilivowezekana ku-copy alituma humu.
 
Tuwe wapole tu mkuu, Chuby ataileta tu kule ikifunguliwa.
 
Sidhani Kama Chubbylady hataki kuendeleza ila shida ipo kuwa telegram story imekuwa pinned haiwezekan ku-copy mbona ilivowezekana ku-copy alituma humu.
Njemba soro yupo na arosto mingi hadi anawatuhumu isivyo mliotuletea hii story hapa. Nadhani kwa hii post ataelewa vyema kwamba story ipo pinned kule telegram.
 
inawezekana kuna namna hutaki kuendeleza ili tu tuwasiliane na huyo anayejiita mwandishi wakati kaiba kazi ya watu. Nimempigia simu hapokei, messages za kawaida na telegram hajibu. Ni upuuzi.

jamani mwendelezo upo mpaka kitabu cha 25(nyie mpo cha 15[emoji2356]) shida ni mwandishi kazuia copying and fowarding mbona kila siku nasema akiachilia huwa natumaa jamani
 
Mtunzi WA hii Riwaya anazingua sana.
Sasa hivi ni mwezi mzima hajibu meseji Telegram!
 
Huenda ulituma kwa namba nyingine, rudisha tu muamara kisha uwasiliane na mhusika mwenyewe umtumie naye atakutumia hiyo story
hapokei simu, hajibu messages. Ni mwizi wa hela ndogondogo ambazo hazina maana yoyote. Hapa wapiga debe wake mpo lakini hamumwambii awache uduwanzi. Mwambie aendeleze hata hapa basi.
 
Back
Top Bottom