[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kanipa yote ,njoo nikuadisie mpaka mwisho
Fursa ,atakua Lisa na mimi alvini katika kumsimulia hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
jaman toeni basi msaada mnaojua ili amalizie hadithiMsaada kwa anaejua kuapload PDF file kwenye jamii forum
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
naomba nitumie wtsp kama hutojaliIliyopo sahivi ipo katika pdf jinsi ya kuhamisha siwezi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndo utaishusha apa ama utafaidi mwenyewe usepenaomba nitumie wtsp kama hutojali
[emoji15]Ndo utaishusha apa ama utafaidi mwenyewe usepe
Shusha mzigo dia
We hujui?jaman toeni basi msaada mnaojua ili amalizie hadithi
Ipo katika pdf jinsi ya kupost ndio sijui [emoji24]Shusha mzigo dia
Nenda kwenye attach files ,alafu utaona sehemu imeandikwa download ,ukibonyeza Apo itakuletea Kila kitu,picha ,document ,nyimbo,chochote unachotaka kuweka,kwa hiyo bonyeza kwenye document Kisha attachKama unaweza nielekeze basi
Njoo pm nikuelekeze vizuriIpo katika pdf jinsi ya kupost ndio sijui [emoji24]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mafail yangu mengi yapo kweny wps so nikifanya hivo hayaji direct ad niyatoe kweye wps niyaeke kwenye drive ndio niweze kupost uku... Ila itaendeleaUkiwa humu kwenye thread nenda sehemu ya comment, huku chini yake kuna kuambatanisha picha na files bonyeza hapo then itakupeleka kwenye simu yako kuna alama like this = bonyeza yatakuja machaguo mengi but bonyeza download halafu chagua file ulokusudia click litajileta tu.....
Mafail yangu mengi yapo kweny wps so nikifanya hivo hayaji direct ad niyatoe kweye wps niyaeke kwenye drive ndio niweze kupost uku... Ila itaendelea