Simulizi: Lisa

Simulizi: Lisa

Dah bonge moja ya simulizi
Bosiiiiiii alosto inatesa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kama unaweza nielekeze basi
Nenda kwenye attach files ,alafu utaona sehemu imeandikwa download ,ukibonyeza Apo itakuletea Kila kitu,picha ,document ,nyimbo,chochote unachotaka kuweka,kwa hiyo bonyeza kwenye document Kisha attach
 
Ukiwa humu kwenye thread nenda sehemu ya comment, huku chini yake kuna kuambatanisha picha na files bonyeza hapo then itakupeleka kwenye simu yako kuna alama like this = bonyeza yatakuja machaguo mengi but bonyeza download halafu chagua file ulokusudia click litajileta tu.....
 
Mafail yangu mengi yapo kweny wps so nikifanya hivo hayaji direct ad niyatoe kweye wps niyaeke kwenye drive ndio niweze kupost uku... Ila itaendelea
 
Back
Top Bottom