Chubbylady
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 621
- 1,018
Hivi Chubbylady huwezi hata kusimulia japo kwa kuungaunga hicho kitabu cha 18?
Naomba jamani ujaribu dear.
Yani sijui nisimuliaje hata[emoji17][emoji17] labda [mention]mireille [/mention] anaweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Chubbylady huwezi hata kusimulia japo kwa kuungaunga hicho kitabu cha 18?
Naomba jamani ujaribu dear.
Umejitahidi sana kusimulia yaani wewe ni kama mwandishi wa hii story 😍Alvin alivopata tatizo la akili anakuja anapona na kuwa kama zamani na akil zake zinarudi ila anajifanya hamtaki Lisa anampenda mtoto wa gitaru(yule ambae aligombana na Lisa siku ya birthday yake Kwa kusema Lisa alikuwa anafanya mapenzi na Alvin bafuni). Baba yake Lisa anakasirika sana anaona kuwa mwanae amesalitiwa na ana nyota ya kuumizwa tu Kila mara na Alvin. Kumbe plan ya Alvin, rais, Ian ni kutaka kujua kama seneta gitaru ana plan gan dhid ya rais. Kunakuwa na birthday ya seneta gitaru anaalikwa kelvin, Alvin ana alikwa na Hanna ila anaambiwa aje na watoto wake wote wawili, rais na familia yake. Na watu wengine. Alvin anapoenda kuomba watoto anapewa Lucas ndio aende nae kwenye sherehe..Kule kwenye sherehe kumbe kelvin na seneta gitaru walipanga kufanya mapinduzi. Wakijua sherry hajui ukweli kuwa kelvin ndio kamteka Mathew na Mali zote anamilikishwa Mr massawe na mkewe kumbe Alvin alishamuokoa Mathew na Mathew alishaongea na mama yake na kumuambia ukweli wote na wakastopisha usambazaj wa madawa kutoka kampuni ya kelvin ila taarifa ilikuwa Siri. Sasa wakat sherehe inaendelea rais akaombwa na seneta gitaru aachiwe madaraka na atoe mhuri wa urais ampatie seneta gitaru na walinzi wa rais walikuwa wamemsalit rais na wageni waalikwa wakamsalit rais mwisho wa siku kumbe team ya kina Alvin walikuwa washajiandaa kabisa na hili jambo walikuwa na askar wengine wakavamia nyumba ya gitaru
Alvin alivopata tatizo la akili anakuja anapona na kuwa kama zamani na akil zake zinarudi ila anajifanya hamtaki Lisa anampenda mtoto wa gitaru(yule ambae aligombana na Lisa siku ya birthday yake Kwa kusema Lisa alikuwa anafanya mapenzi na Alvin bafuni). Baba yake Lisa anakasirika sana anaona kuwa mwanae amesalitiwa na ana nyota ya kuumizwa tu Kila mara na Alvin. Kumbe plan ya Alvin, rais, Ian ni kutaka kujua kama seneta gitaru ana plan gan dhid ya rais. Kunakuwa na birthday ya seneta gitaru anaalikwa kelvin, Alvin ana alikwa na Hanna ila anaambiwa aje na watoto wake wote wawili, rais na familia yake. Na watu wengine. Alvin anapoenda kuomba watoto anapewa Lucas ndio aende nae kwenye sherehe..Kule kwenye sherehe kumbe kelvin na seneta gitaru walipanga kufanya mapinduzi. Wakijua sherry hajui ukweli kuwa kelvin ndio kamteka Mathew na Mali zote anamilikishwa Mr massawe na mkewe kumbe Alvin alishamuokoa Mathew na Mathew alishaongea na mama yake na kumuambia ukweli wote na wakastopisha usambazaj wa madawa kutoka kampuni ya kelvin ila taarifa ilikuwa Siri. Sasa wakat sherehe inaendelea rais akaombwa na seneta gitaru aachiwe madaraka na atoe mhuri wa urais ampatie seneta gitaru na walinzi wa rais walikuwa wamemsalit rais na wageni waalikwa wakamsalit rais mwisho wa siku kumbe team ya kina Alvin walikuwa washajiandaa kabisa na hili jambo walikuwa na askar wengine wakavamia nyumba ya gitaru
So Rodney aliingizwa mjini na Sara?rodney ndo ilikua shabaha yake na kama tunavojua rodney hachomoi kwa sara![]()
![]()
![]()
So Rodney aliingizwa mjini na Sara?
Rodney alitumia Hela nyingi sana kumtibia Sara Ili arudi katika hali yake ya kawaida. Kwasababu charity alimlemaza sara. Alichokuwa anategemea Rodney ni Ile kampuni yake ya osher tu hakuwa na sehem nyingine ya kupata Hela. Kule kwenye urithi alishatolewa Jessica ndio ana hisa nyingi za kampuni. Kwaio Rodney aliagiza daktar kutoka nje aje kumtibia Sara kabla ya harusi yake na Sara. Kumbe uyo daktar amekuja Kwa mchongo. N daktar ambae anawasiliana na Lisa na Lisa alimuomba kaka yake Mathew afanye mpango wa kupata daktar. Sara anakuwa vzur japo siyo kama zamani. Inafungwa ndoa kati yake na rodney lakin hiyo ndoa familia ya Rodney haiji na hawalet zawad Sara anamlalamikia Rodney lakin Rodney anamwambia aridhike na harusi ya kifahar aliyomfanyia Pamela ajawah kumfanyia. Lisa alikuwa Bado na kisas na Sara anamwomba msaada Mathew apate mwanaume ambae atamtongoza Sara na atalala na Sara upatikane ushahid ambao utamfanya Sara aachwe na rodney. Kumbe muda huo huo Ian nae anatafuta ushahid dhid ya Sara. Ian anapata ushahid kuwa Sara ananyanyasa wanyama maana inaoneshwa video Sara akiwa anamchana paka bila ganzi akiwa na hasira..Kwa upande wa Lisa anampata uyo mwanaume ambae anatokea familia ya kitajiri ila kwakuwa analipwa Tena na Tshombe yupo tayar kufanya kazi ya Lisa anamtongoza Sara na anafanikiwa kulala nae. Plan za Sara anataka amlaze kama alivomlaza Alvin lakin Lisa alishamuandaa kisaikolojia huyo mwanaume kwaio uyo mwanaume akajifanya kweli kalazwa kiakil na Sara kumbe anamuongopea Sara. Mwisho wa siku Rodney anauza kampuni yake na Pamela anainunua. Rodney anakuja kujua mchezo mzima kuwa Sara anamsalit Kwa mwanaume mwingine. Rodney anampiga Sara anakamatwa ila familia yake inakuja kumtoa wanamlazimisha aondoke aende mbali na Kenya ila hataki. Sara anakuja anakamatwa anafunguliwa mashtaka anahukumiwa kifo... Rodney anakuwa amwachi Kwa amani Pamela. Anaanza kumsingizia Ian kuwa alikuwa anamtongoza shemej yake kipindi yupo kwenye ndoa na anaungana na maadui wa rais Ili kumharibia rais tu. Mwisho wa siku Jessica na Ian wanafanya maamuzi magumu sana ya kumchoma sindano Ian awe na akili za kitoto(awe tahira) Ili asije wasumbua tenaTena vibayaa alijifanya hana sehemu ya kuishi hapo tayari rodney na Pamela walikua wameoana na dani kazaliwa ko rodney kwa huruma akampangoshia sarah appartment(ila ilikua chini ya jina la mtu mwingine) ila Pamela aligundua mana mwanzoni ilikua rodney na pamela wakimwongelea sarah jama alikua anakasirika ila baada ya kuonanana sarah akaanza kumtetea[emoji23][emoji119] ko ndo ukawa mwisho wa ndoa ya rodney na pamela tho rodney hakuw anampenda sarah tena alikua kashazama penzini na pamela ila pamela hakumsamehe kabisaaa
[emoji840]Ilianza story ya Lisa na Alvin Hadi wanafunga ndoa Kwa mara ya pili inaisha. [emoji840]Inakuja story ya Pamela na rodney na tunaona mwisho wa Sara inaisha.
[emoji840]Inakuja story ya Forrest na Jessica nao tunaona Hadi mwisho wao ni upi(zimetumika mbinu za kibabe Hadi wamefunga ndoa)
[emoji840]Story nyingine ni chester na Eliza(charity) ndio tulipo Sasa hivi hatujui mwisho wao.
[emoji3480]Hatujaona mwisho wa kelvin Je alikufa alivochukuliwa na Tshombe
[emoji3480]Je Lisa alimsamehe mama yake kwasababu alikataa kabisa kumtambua sherry kama ndio mama yake
[emoji3480]Hans na Sam atujaona mwendeleZo wao
[emoji840]Ilianza story ya Lisa na Alvin Hadi wanafunga ndoa Kwa mara ya pili inaisha. [emoji840]Inakuja story ya Pamela na rodney na tunaona mwisho wa Sara inaisha.
[emoji840]Inakuja story ya Forrest na Jessica nao tunaona Hadi mwisho wao ni upi(zimetumika mbinu za kibabe Hadi wamefunga ndoa)
[emoji840]Story nyingine ni chester na Eliza(charity) ndio tulipo Sasa hivi hatujui mwisho wao.
[emoji3480]Hatujaona mwisho wa kelvin Je alikufa alivochukuliwa na Tshombe
[emoji3480]Je Lisa alimsamehe mama yake kwasababu alikataa kabisa kumtambua sherry kama ndio mama yake
[emoji3480]Hans na Sam atujaona mwendeleZo wao
Kwa nini usiifungulie uzi hapa jf?
[emoji1]usituponze