Erli Djei
Member
- Mar 30, 2023
- 51
- 94
[emoji3][emoji3][emoji3]nataman kukuelekeza wap utaisoma ila naogopa
Nielekeze best ila isiwe Telegram[emoji72] huko sina nauli[emoji5]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3]nataman kukuelekeza wap utaisoma ila naogopa
Kauka basi 😜Mbona unaisomaga na ww lakin
Hee jamni mbona sielewi sema mimi ndo bado nipo nyuma saana sijui nirukeCharity ndiyo huyo kasharudi katika mwili wa mtu mwingine...Kelvin anazidi kucheza rafu, penzi la Lisa na Alvin limenoga
[emoji3][emoji3]acha uoga
tuambie bc hata kwakuinunua😒😒😒Nielekeze best ila isiwe Telegram[emoji72] huko sina nauli[emoji5]
tuambie bc hata kwakuinunua
Jamani naomba nielekeze hata kama kuna malipo nitalipia[emoji3][emoji3][emoji3]nataman kukuelekeza wap utaisoma ila naogopa
Jack yupo hai, anakutana na Lisa, chester anakatwa mguu anakuwa mlemavu. Charity anaanza Anza kumpenda chester.
[emoji14][emoji14][emoji1][emoji3]kwaio hutaki kusoma isidingo au
Nmekutana na hii..nadhan ni same storyJack yupo hai, anakutana na Lisa, chester anakatwa mguu anakuwa mlemavu. Charity anaanza Anza kumpenda chester.