kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madhara ya kucopy chif ndo haya.angekuwa anatunga yeye asingeleta ubabaishajTuwe na subira uzuri ni kwamba nimeona last seen yake ni leo
Pamoja sana mzee wetuHabari za siku nyingi wadau?
Mimi ni mzima wa afya.
Dunia na mambo yake yananishughulisha, nakuwa bize sana, sipati muda wa utulivu kuandika simulizi hii ya Msegemnege.
Simulizi hii sinakili sehemu yoyote, wanaodhani nina nakili sehemu basi watumie 'search engine' kwenye wavuti kupata ukweli.
Ninahidi kuendeleza simulizi hii pindi nitakapokuwa na wasaa wa kuandika.
"Kutunga hadithi kisha ilete maana kunahitaji umakini"
Hivyo nataka simulizi ilete maana niliyo kusudia.
Aidha nichukue fursa hii kumshukuru aliyeumba Mbingu na nchi na vilivyomo, kwa umri mrefu na afya njema.
Pia niwashukuruni ninyi wadau wote humu kwa kufuatilia simulizi hii na nyingine nilizoandika humu JF. Niushukuru pia uongozi wa JF kwa kuanzisha mtandao huu ambao umetuleta pamoja na wengi wamesha fahamiana nje ya JF baada ya onana humu kwanza nabkuendekea kujumuika kiuchumi na kijamii.
Kwa wale wagonjwa na wenye shida mbalimbali nawaombea Mwenyezi Mungu awaponye na kuwafanyia wepesi wenye matatizo katika kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili.
Mwaka 2023 ndio upo ukingoni, nawatakieni heri na fanaka katika mwaka 2024.
Nawaombeni radhi kwa kuwakwaza kwa namna yoyote ile, nami nimewasamehe wote walionikwaza kwa namna moja ama nyingine humu JF na katika maisha ya kawaida.
#Tutende yaliyo mema, tudumishe amani, bila kusahau kufanya ibada mbalimbali.
"Death is definite truth"
Hakika kifo kipo, basi tuwaidhike.
HAPPY NEW 2024 TO YOU ALL.
Nawapenda sana.
JB59
Be blessed JBourne59. Iwe kheri tuome 2024. .Habari za siku nyingi wadau?

Haki ya Mungu JBourne59 una uchawi wa Juma Njemba wanakuogopa hawakuchambi hawatukani 😂😂😂mwingine ungesikia mod shusha uzi hapo hajaja chizi maarifa 😂 yaani full utulivu.Habari za siku nyingi wadau?
Mimi ni mzima wa afya.
Dunia na mambo yake yananishughulisha, nakuwa bize sana, sipati muda wa utulivu kuandika simulizi hii ya Msegemnege.
Simulizi hii sinakili sehemu yoyote, wanaodhani nina nakili sehemu basi watumie 'search engine' kwenye wavuti kupata ukweli.
Ninaahidi kuendeleza simulizi hii pindi nitakapokuwa na wasaa wa kuandika.
"Kutunga hadithi kisha ilete maana kunahitaji umakini"
Hivyo nataka simulizi ilete maana niliyo kusudia.
Aidha nichukue fursa hii kumshukuru aliyeumba Mbingu na nchi na vilivyomo, kwa umri mrefu na afya njema.
Pia niwashukuruni ninyi wadau wote humu kwa kufuatilia simulizi hii na nyingine nilizoandika humu JF. Niushukuru pia uongozi wa JF kwa kuanzisha mtandao huu ambao umetuleta pamoja na wengi wamesha fahamiana nje ya JF baada ya kuonana humu kwanza na kuendekea kujumuika kiuchumi na kijamii.
Kwa wale wagonjwa na wenye shida mbalimbali nawaombea Mwenyezi Mungu awaponye na kuwafanyia wepesi wenye matatizo katika kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili.
Mwaka 2023 ndio upo ukingoni, nawatakieni heri na fanaka katika mwaka 2024.
Nawaombeni radhi kwa kuwakwaza kwa namna yoyote ile, nami nimewasamehe wote walionikwaza kwa namna moja ama nyingine humu JF na katika maisha ya kawaida.
#Tutende yaliyo mema, tudumishe amani, bila kusahau kufanya ibada mbalimbali.
"Death is definite truth"
Hakika kifo kipo, basi tuwaidhike.
HAPPY NEW 2024 TO YOU ALL.
Nawapenda sana.
JBourne59
As long as you're alive grandpa, no need for us to worry about the storyHabari za siku nyingi wadau?

Nimewaza kama wewe yaniMzee JS, bado upo hai?
Umechanganya majina:!?Alishakufa ulikuwa hujui?
Majina ya nnUmechanganya majina:!?