SEHEMU YA KUMI:
Baada ya nusu saa Carry alianza kulalamika tumbo linamuuma alianz kulia kwa maumivu na damu zilianza kumtoka ,Nancy alijua mamb tayr yameiva hivyo alienda kufunga mlango vizur na madirisha aliyalock il watu wasisikie kelele za Carry
"Dada naomba unipeleke hospital nakufa mim naomba unisaidie "Carry alikuw anajigaragaz chin huku akiomba msaada kwa Nancy
"Tulia mdogo wang tumbo litapona tu ".
"Dada nisaidie nakuomba "Hal ya Carry ilizidi kubadilika na damu zilizid kumtoka ,Nancy alivyoona hivyo ilibid ampigie simu Big aje na daktr wake
"Big ukichelewa mtoto wa watu anakufa nakwambia "
"We Nancy umezid ulishndw nini kunambia nmpeleke kwa daktr wang kam ulikuw huwez kaz"
"Huu sio muda wa kulaumu leta daktar haraka"Nancy alikata simu na kuanza kuhaha maan dam zlizd kuvuja kutoka kwa Carry .Big hakuchelewa sana kufika walimkuta Nancy amekaa seblen akiwasubir
"Mgonjwa mwenyew yupo WAP"daktr aliyejulikan kwa jina la yusuph alimuulz Nancy
"Yupo chumban ,kule chumba cha mwisho nyie nenden tu"Nancy alisimama kwenye Cordo na kuwaonesha chumba alichop Carry,Big na doctor walikimbia had kwenye chumba walichoelekezwa na Nancy walifungua mlango na kumkuta Carry amelala chin huku akiwa hajitambui
"Doctor mzima kwel huyu?big aliuliza huku ametoa macho na wakat huo doctor aliinama na kuangalia mapigo yake
"Ni mzima lakin inabidi tumuwahishe hospital akaongezewe dam lasivyo tutampoteza "hawakuw na muda hata wa kumbadilisha zile nguo doctor alimbeba na kuanza kutoka nae nje huku big akifata nyuma nyuma ,Nancy aliogopa kabisa kwenda maana alikuw na kes ya mauaj kabisa ,bahat nzur Asha alikuwa anarud nyumban hivyo alivyoona Carry anaingizwa kwenye gari aliamua na yeye aunganishe safar ya kwenda hospital .
**************************************************
Mr derrick alifika wa kwanza Tiffany hotel ,Neema alikuw bado hajafika hivyo aliamua kuchukua chumba na kumsubir .Baada ya muda mfup Neema alimpgia simu na kumtaarufu kwamba ameshfika yupo nje ,Mr Derrick alimtajia No ya chumba alichopo na kumtaka aende kule ,Ney hakukataa alifanya kama alvyoambiw ,alifika chumba no 102 kisha aligonga mlango Mr Derrick alienda kufungua mlango na kukuta Neema kasimama huku amevalia kigaun cha blue kifupiii kilichoacha mwil wake waz,na kiatu cheus kirefu ,na wallet yake nyeus nywele zake ndef alizibana ,Mr derrick alishangaa kumuona kwenye ule muonekano aliokuw nao maan alionekan mtu tofaut kabisa .
"Umependeza sana jamani we mtoto ".Mr derrick alimwambia Ney huku akifunga mlango baada ya Ney kuingia ndan ya chumba
"Asante sana "alijibu kisha aliket kitandan huku akijitahid kuachia paja lake nje lionekane vizur
"Dah we mtoto utaniua jamani "
"Hiv umeniitia nin hapa mkwe wang "
"Aah Ney hujaelewa tu mpaka sahiv jaman"
"Sijaelew natak unieleweshe"
"Neem haijalish we ni mchumba wa mtoto wang lakin me nimetokea kukupenda sana nahitaj nkumiliki ,Mimi huwa sipend kuzunguka zunguka san"
"We mzee wewe halafu na mwanao nimuachie nan?
"Aah utakuwa nae ila nachotaka niwe na wewe"
"Mmmmh ,utawezana na mashart ntakayokupa?
"Chochote kile utakachokisema nipo tayar"
"Nachotaka umlazimishe mwanao anioe mimi na ikibid week ijayo jumamos iwe harus yang na mwanao, na gharama zote utagharamia wewe "
"Hicho tu au kuna kingine?
"Vingine vitafuata taratibu Ila cha kwanza nataka unitimizie hicho".Neema nia mipango yake ilikiwa lazima aolewe na edward kwasabab alishachoka maisha ya kudanga na alitaka mwanaume mwenye hela kwahiyo alikubal kuw na Mzee derrick na walianzisha mahusiano yao ya sir ilmrad afanikiwe akitakacho.Mida ya saa 5 usiku Neema alitaka kuondoka kurud kwao hivyo Mr derrick aliongozan nae kwenye gar lake na kumpeleka had nyumban kwao alimpatia pesa za matumizi Neema alimshkr kisha alianz kutembea taratib kulifuata get la nyumban kwao .
"Haaa mama mbona hujalala mpka sahiz"Neema alimkuta mama yake akimsubir Getin
"Hiyo ndo salamu?
"Jaman mama shikamooo "
"Nimekuona vizur unavyoshushw kwenye gar hapo na umevaa hivyo hujui we ni mchumba wa mtu?
"Umemuona alyenishusha?Neema alishtuka maana hakutaka kabisa mama yake ajue kinachoendlea yeye na baba mkwe wake
"Na lait nngemtambua sura wallah nngekuja kuwafnyia fujo hapo"Neema kusikia vile alishusha pumz kidogo
"Mama twende tukaongelee ndan tusifaidishe watu hapa nje "waliongozana na mama yake had seblen Neema alivua viatu vyake na kukaa ampe taarifa za mipango ya harus maan kuhus kushushwa na gar pale nyumban hakuna kama ni tatizo
"Mama jumamos harus yang "
"Mweeeee ,mbona gafla hivyo nan kapanga hayo"
"Nilvyoenda huko kwa wakwe zang leo ndo tulichokizungmz na kila kitu atagharamia baba Mkwe wang"Neema alidanganya
"Jaman nafurah sana kuona bint yang unaolewa nitamtaarifu dada kesho aje tupange mipango vizur ikibid tukatane familia zote mbil ,lakin vip sasa kuhus hal yako umeshamueleza ukwel mwenzio"
"Mama umeshaanza nikimwambia sahiv nmeathirika kutakuw na ndoa kwel hapo?
"Kumbuka unavyomfanyia mwenzio sio hak kabisa,unamuambukiza kwa makusud ,na isitoshe sikuhiz hautumii dawa zako una matatizo gan mwanangu"
"Mama huyo shetan wako sijui Big sijui nan ndio sababu wa kila kitu ncngekuwa mgonjw mim sahivi nilvyokwambiaga tabia ya mumeo kunibaka mara kwa mara ungeniamin nisingekuw mgonjwa mim sahv mama "
"Mwanang naomba unisamehe hayo yameshapita,ilikuwa umasikin tu ndo ulionifanya nivumilie yote haya najua unavyojisikia mwanang "
"Mama nakulaumu sana juu ya hal yang lait baba ang angekuwa hai nisingepitia nilyoyapitia mim ,na wala tusingekuwa waathirika sahiv"Neema aliondoka seblen pale huku akilia alienda kujifungia chumban kwake,simu yake iliita na mpigaj alikuw ni naseeb
"Vip mama lao upo".
"Nipo "Ney alijibu kinyonge maan alikuw bad analia lakn hakutaka naseeb ajue chochote alilazimisha aongee kawaida
"Njoo bhc rode club nimekumiss sana"
"Upo na nan"
"Peke yang ndomana nmetaka campany yako"
"Nakuja sahiv"Ney aliona bora akapoteze mawazo huko hivy alitoka hata bila kumuaga mama yake .
Alifika kule rode club na kumkuta Naseeb ameagiz vinywaj vyake tayr
"Agiza na wewe mama leo nina hela "
"Leo umepata hela wap mbon unatamba sana"
"Mimi siku zote huwa nina hela lakin leo nimepata hela za kuchezea,kuna demu nmemuibia sa mzgo niliouiba nmeupiga bei leo ndo nimepew hela kwhy tumia mam kadr uwezavyo"
"Dah hujaacha mamb yako tu"
"Aah bhana we kunyw mama hayo tuyaache"
Walipiga story sana na muda ulikuwa umeenda ,Neema alikuwa ameshalewa tayar na Naseeb alikuw amelewa pia walichukua chumba kwenye lodge ilyokuw karibu na club ile kwa akil za kilev Neema alianza kulopoka
"Naseeb mim ni muathirika ,nmekuambukiz na we we hahaha"
"Neema acha utan"
"Hahaha natania tu ,kumbe unaogop"Neema alikuw anaongea saut ya kilev hivyo Naseeb hakutilia maanan walijitupia kitandan na kulala.
*************************************************
Carry alifikishwa hospital akiwa hajitambui bado ,walianz kuhangaikia utaratib wa kumuongezea dam na kumsafisha ,bahat mbaya kat yao hakuna hat mmoja aliyeweza kuendan group la dam na Carry
Big alichanganykiw na ukiangalia ilkuwa usiku wangefanyaje endapo watashindw kuokoa maish ya Carry ,aliona jela inamuita taratibu ,alikumbuka mwanae wa kiume Alex alikuw na group O hivy alimtafuta na kumtaka aje hospital harak iwezekanavyo.
Alex alitii na bahat nzur hakuw mbal sana na hospital hivyo alifika kwa wakat na kutoa dam kumchangia Carry ikiw hajui amemchangia nan .
"Baba nan huyo nlyemchangia dam "Alex aliuliz baada ya kutoa dam
"We acha tu mwanang huu uzee na kutaka mambo ya vijana yana madhara kwa kwel akipona huyu bint me sitorudia huu ujinga tena"
"Kila siku nakwambia mzee lakin huelew bado mgonjw lakin unaendlea kusambaz tu ugonjw wako"
"We Alex hebu tuyaache hayo vip biashara zako zinaendaje "
"Zinaenda vizur Mzee japo yule mwanamke nilyekwambiaga alintoroka sijafanikiw kumpata mpka leo sijui kajifichia wap"
"Kuwa makin usije ukakamatwa "baada ya muda kidogo doctor alimuita Big pemben
"Nambie Yusuph vip hal ya mgonjw ipoje kwa sasa"
"Bado hajazinduka lakin atakuw sawa ,lakin inabid aangaliwe kwa umakin sana na akiznduka anatkiw kula pia ".
"Usijal doctor kuhusu hilo".Kisha waliachana na Big alirud kwa Alex na kumuelez alichoambiw na doctor
"Alex najua we unajua kupika itabid asubh umletee mgonjwa soup na vitu vingine muhim nitakwambia "
"Aah Mzee ndo unanshikisha huu msala".
"Fanya nilichokwambia sitak mabishano "
"Naweza kuwasaidia kama hamtojal"Asha aliingia yale maongez baada ya kuona wanabishan sana ,walikubal hivyo Alex aliondoka na Asha kwenda kulal nae had nyumban kwake il iwe rahis kuandaa chakula cha mgonjw asubh na mapema Big naye aliondoka alienda kulala anapopajua yeye.
**************************************************
Ney alikuw wa kwanza kuamka ,Naseeb alikuwa bado anakoroma ,alichukua simu ya mkonon na kukuta ni saa 12 asubuh Alitaka kuendlea kulala lakin ujumbe uliingia kwenye simu yake na mtumaj alikuw ni Edward ,
"Neema naomba kuonana na wewe leo saa 2 "
"Wap love"
"Tukutane pale njia panda karibu na Serena hotel "
"Sawa bby "Neema alicheka na kutup sim pemben akiw na furah kwel ,alijua tayar Mr derrick kashatimiza alichokitaka hivyo alinyanyuka kutoka kitandan na kwenda kuoga haraka ,alivyotoka kuoga alimkuta naseeb ameshaamka tayr
"Hiv Neema ni kwel umeathirika ?au sina kumbkumbu vizur ".
"Naseeb achan na hayo jana zlkuw akil za pombe tu"
"Neema hutok hapa bila kunambia ukwel "Naseeb alikuwa mkal sasa
"Nimeshakwambia achana na mim unanchelewesha kwenye mambo yang"
"Neema sitanii nambie ukwel ".
"Ukwel hahaha hay mim muathirika kwel "..
"Mungu wang !!!!!!Neema !!!!Naseeb alibak kam amekufa ganz hakusema neno lolote alibak ameganda tu ,Neema alimuangalia kwa dharau kisha aliendlea kuvaa nguo zake bahat nzur alibeba nguo kwenye poch za kubadilisha .
"Mimi naondoka naenda kwa mchumba wang kwahiyo usiniharbie we ibaki siri hivy hivyo ,Ila cha kukushaur kapime ili uanze kutumia dawa na wewe ,hahah mmeshazoea kula vya bure ee haya nmekupa mshahara huo pokea"kisha Neema alitoka pale lodge na kumuacha Naseeb ameduwaa asiamin kile alichokisikia .
**************************************************
Mama ake Neema alimpigia simu dada yake mama Carry au mama Leila wengi walizoea kumuita kwa jina LA bint yake wa pil
"Hallow dada habar za huko ".
"Salama tu naona leo umenikumbka "..
"Nakukumbuka kila siku Dada ang,lakin leo kuna jambo itabid tukutane "Mama Neema alimuelezea pale kwa kifup kwasababu alishampa taarifa juu ya uchumba wa Neema na Edward hivyo Mama Leila alikubal kwenda kwa Ester ili waende huko kwa kina Edward,bahat nzur Mama Edward alipiga simu na kuwajulisha kwamba wao ndo wataenda huko yeye na mume wake badala ya wao kuwafuata ...Mam Neema aliogopa kumtafuta mume wake maan alijua jinsi alivyo mkorof na hakuwa anapatana na Neema hata kidogo kwasababu ya tukio alilowah kumfnyia Neema miaka 10 iliyopita .
**************************************************
Alex na Asha asubuh na mapema walijitahd kuamka na kuandaa chakula cha mgonjwa Asha ndo alikuw mpish wa kila kitu pale nyumban kwa Alex na alijitahid kuandaa soup nzur ,kisha alimtengea na Alex japo anywe kabla hawajaenda hospital.Walivyomliza waliongozana wote kuelekea hospital na kulishapambazuka ilikuw mida ya saa moja hivi ,Walipiga story mbil tatu japo Asha alikuw ni mtu mwenye aibu sana na hakuw muongeaj.walifika hospital na kumkuta Big ameshafika hospital aliwapa taarifa Carry amesharejew na fahamu lakin alikuw analia tu baada ya kujua mimba yake imetoka,Asha aliingia alipolazwa Carry na kuanza kumbembelez na kumfariji japo haikuw kaz rahis kumtuliza Carry ,Alex yeye alibak nje akizungumza na baba yake
"Halafu baba si urud kwa mkeo tu utulie kuliko unavyohangaika na watoto wadogo"
"Kwel mwanangu umeongea jambo japo sijaenda muda mrefu sana kuwaona Ester na binti yake"
"Baba ndo umegomag kabisa kuntambulisha kwa mke wako na wala huyo mwanae hutak kabisa nimjue "
"We tulia mambo haya yakikaa sawa me nitakupeleka hata usijal maan ndo ndugu zako waliobak ,ndugu wa marehem mam yako hawana mpango na wewe kabisa"
"Tuachane na hayo baba naona unataka kuniliza sahiv,....me nimempenda Huyu Asha we unaona anafaa au hafai?
"Mtot wa kiislaam yule mzur we mchukue tu na anajieshim sana yule binti"
"Mzee ngoja nmfate huko huko ndan nianze kuweka nae ukaribu nkamuone na huyo mgonjwa nimfaham hata sura"Alex alianza kupiga hatua kuelekea chumba alicholazwa Carry....na baba yake aliitwa chemba na doctor .
"Big nimekuita nikwambie kitu ".
"Aah ongea rafiki angu wanaume hawazungukag hivyo "
"Ok ni hivi dam aliyoichangia mwanao haipo salama inavirus vya ukimwi hivyo imetulazim tuchukue Dam kweny bank yetu na kumuongezea mgonjwa "
"Unasemaje ???????mwanangu ameathirika?uwwih mtoto kaathirika na baba kaathirika mungu wang....Big akichanganykiw hakuelewa ataanzaje kumuelez mwanae
************************************************
Neema alienda kukutana na Edward kama walivyokubalian japo leo alibadilika kidgo hakuvaa nguo ya ajabu sana alivaa surual na tishrt tu.
"Umependeza mume wang kipenz"Neema alimsifia Edward aliyekuw amevaa tishrt nyeupe na surual ya jeans pamoja na raba nyeus ,ukichangia na mwil wake kifua kilichojazia wastan na urefu aliokuw nao kwel alikuw amependeza japo hakuonesha kufurahia alivyosifiw na Neema,.
"Ney panda kwenye gari kuna sehem natak nkupeleke "
"Wap Eddy "
"Twende tu mama usijal ,n tukitoka hapo tutapitia dukan ukachague nguo ya harus"
"Nakupenda Edward ,asante kwa kukubal kunioa "Neema alimkumbatia Eddy japo hakupewa ushirikian wowote ,alipanda kwenye gar na kuanz kujiongelesha lakin Edward alikuw hana story nae. .....Hatimae walifika walipokuw wanaenda Eddy alikuw wa kwanza kushuka kisha alizunguka upande wa pil na kumfungulia mlango Ney ashuke na yeye ,Neema alishtuka kuona wapo hospital tena hospital anayoendaga kuchukulia dawa zake za kila mwez aliishiw nguvu nusu adondoke pale lakin alijikaza sana na kumuuliza Eddy
"Tumekuja kumsalmia nan hapa hospital".
"Hatujaja kwa sababu hiyo Ney usiogope wala hakun yoyote anayeumwa".
"Eddy kwanini hukunambia kam tunakuja hapa lakin"
"Mama usiogope upo na mim tunaenda kupima tu ,si unajua kesho kutwa tu tunafunga ndoa ni vizur tukajua afya zetu kwanza"kisha Eddy alimshika mkono na kuongozana nae had ndan ya hospital lakin Ney hakuw na aman kabisa .wanaingia tu walikutana na muuguz anayempaga Neema dawa za kuongeza siku za kuish na kumsalmia Ney
"Habar Ney ,karibu naona umemleta na mwenza wako apate ushaur "Yule muuguz alianza kulopoka hata bila kuulizw na kupoteza sifa yake ya kuwa muuguz
"Samahn tuna mambo mengine hapa "lakin Neema alimkata jicho hilo had yulemuuguz akaondoka tu bila kuaga kabla hawajafika popote Neema alimuona Alex alishtuka kwa kwel kumuona pale akaona leo mambo yake yote yanakuw hadharan Alex pia alisita kuingia kule chumban alirud nyuma ili amuone vizur ney ,
"Mzee simama umuone dem wang wa zaman yule pale "Alimwambia Big aliyekuw kajiinamia akijarib kutafakari mambo yake na kutafakar atamuelezaje Alex kwamb ameambiw ameathirika
"Alex unanionaga kam kijana mwenzio yan aah unanisumbua tu "Big alilalamika lakin Alisimama na kumuona Neema ,
"Heeee we Alex wewe si mtoto wa mama yako wewe unayetaka Kuonana nae kila siku "
"Mzee acha utan,hebu twende ukamuone vizur ,lakn hat akiwa ni yeye haina mdhara maan hatushare baba wala mama "walitembea had pale alipokuwa amesimam Ney na Edward,Eddy hakuelewa chochote ila alivyomuona ni Alex rafik yake alichangamk na kumsalmia Alex a, Neema alikuw amekaa kimya hasem chochote lakin.alikuw anatetemeka tu
"Neema mshenz ww kwanini umeniulia mwanangu "big alimnasa kibao Neema na kuanza kuongea kwa sauti kubwa
"Baba mbona sikuelew amekuulia mtoto wako yup?Alex aliuliza ,huku akiacha kuzungumza na Eddy
"Neema ni muathirika Alex na ndo aliyekuambukiza"
"Alex alimgeukia neema na kumpiga kof jingine ilibidEddy aingilie kat kumtetea Neem asipigwe ten ,hapo sasa na yeye ndo alijua kama Neema ameathirika hata kabla hawajapima .
"Kumbuka huu ugonjw niliupata kwako "Neema alilia kwa uchungu sana huku akimnyoshea kidole Big .
"Me naona mngekaa sehemu muongee kuliko kuleta fujo hapa hospital na kusumbua wagonjwa wengine"Eddy aliongea huku akimbembelez Neema ,Alex alionekana kuchanganyikiwa na big ndo hakuelew afanye nini maaana yeye ndo alikuw chanzo cha ugonjwa kusambaa ,alichukua simu yake nakumpigia mama Neema
"We ester naomba uje hapa Upendo hospital uone bint yako alichokifanya wallah ukichelewa mim nitamuua "kisha Big alikata simu hakusubir hata majibu alimuonea hruma mwanae alyebak akilia kama mtoto .Asha alvyosikia zile kelele alitoka kwenda kujua kilichotokea huko nje ,Carry naye alitaman kutoka nje hivyo alimuomba Asha amsaidie kumshika maan hakuwez kutembea peke ake alihitaj support Asha alimshika Carry na kuanza kutoka nae nje ya chumba .Carry alikutana uso kwa uso na Edward Carry alihis anaota aliita jina LA Edward kwa saut kubw ,Edward na yeye ndo alimtambua Carry vizur na kumkimbilia pale mlangon alipokuw amesimama alimbeba na alifurah sana kumuona Carry watu wote walishangaa na hawakuelew kinachoendlea juu ya wale watu wawil ila wao hawakujal akina nan wanawashangaa ,Alex na yeye ndo alimuona Carry na kutambua ndo msichan anayemtafutaga siku zote .
"Edward ulikuwa wap siku zote "Carry alimuuliza Eddy huku akilia
"Hukunitafuta mama angu nimejaribu sana kukutafuta lakin sikufanikiw kukupata "
"Namshukuru mungu leo amenikutanisha na wewe hapa ".Carry alizid kulia kwa furaha huku akimkubatia Edward
"Lakin mbon upo hospital unaumwa nini kpnz Chang"
"Carry alianza kulia upya na kumpa habar juu ya kiumbe kilichokufa Edward alisikita sana kusikia zile habar na kumuonea huruma Carry.
Mama Neema alifika hospital akiwa ameongozana na Dada yake (mama Carry) ,mama Edward pamoja na baba Edward maana.wakat anapigiwa simu na big walikuw wameshakutana wote ndio maana waliongozana pamoja hospital kujua kinachoendlea
"Nini kinaendlea hapa Baba Neema "mama Neema alimuuliz big aliyekuwa amefura kwa hasira huku Neema amekaa chin akilia na Alex vilvile alikuw bado mwenye hasira na majonz makubwa .
"Mwanao kaniulia mwanangu alikuwa anajijua ameathirika lakin alitembea na mwanang "
"Ety Neema muathirika ?"Mzee derrick aliuliza kwa mshangao sana ,alizimia pale pale ,hapo Edward ndo aligeuka nyuma baada ya kusikia saut ya mama yake ikipiga kelele ,hapo hapo Carry alimuona mama yake ambaye hajamuona kwa muda sasa alikimbia kwenda kumkumbatia mama yake aliyekuwa amesimam na akishangaa kwa kuacha mdomo waz ,Edward alimsaidia mama yake kumuangalia Mzee wake na aliingizw kweny chumb cha daktr kwaajil ya vipim .
**************************************************Baada ya siku mbil familia zote zilikutana ikiwemo familia ya Carry iliongezeka kila mmoja alitoa dukuduku lake na kuombana msamaha Edward aliitumia ile fursa kutangaz nia yake ya kumuoa Carry ,Neema hakuwa na jinsi ilibid amuachie ndugu yake aolewe kwasababu Mama yake na Neema na mama ake Carry walikuw ndugu hivyo ,Carry alisamehewa na mama yake na alimuomba msamaha kwa kumfukuza nyumban .Big aliiomba msamaha familia yake pia na kuahid kubadilika ,Alex japo alionesha kukata tamaa juu ya maisha yake lakin Asha alikuwa tayar kuwa nae hata kama ana hal ile .Neema alimuita Naseeb nyumbn kwao na kumuomba msamah na walikubalian kuish pamoja Wazaz wa Edward pia walisameheana na kuanza maish upya kabisa wakipambana na hal zap walizokuw nazo.Lakin Carry alikuw mwenye furaha kuliko wote tabasamu lake lilirudisha urembo wake na alishukuru baada ya heka heka zote zile lakin alifanikiwa kumpata mwanaume wa maisha yake japo walikutana kwa bahat mbaya tu
MWISHO ......