Simulizi: Nyuma ya mlango wa adui

Simulizi: Nyuma ya mlango wa adui

 
Wale tuliosoma mwaka huu wa 2026 tukutane hapa,

Kwanza natoa kongole kwa mtunzi, yupo vizuri, na story inachangamsha, kuna wale jamaa zangu waliotaka usimulie pale tu Deusi alipokuwa na Veronica, wapi pia waliotaman Deusi angepita na mdogo mtu pia

Lakini yore kwa yote, ni simulizi nzuri japo ina kasoro kadhaa ambazo zinarekebishika

Moja, kuchanganya r na l, sometimes inaondoa ladha

Mbili, kutokumoa DEUSI udhaifu wowote, ilipaswa baadhi ya maeneo Deusi azidiwe na pengine aumizwe kiasi, lakin katika hali hiyo aibuke kama muujiza na ashinde, udhaifu mwingine kama tamaa ambazo zingempotezea lengo wakati fulani, wakati mwingine ajute ili kumpa nafasi ya kuwa binadamu kamili, kwa maana binadamu kamili ni yule mwenye mapungufu
 
Back
Top Bottom