Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Simulizi ya kweli.........SHANGA YA BIBI ILIVYONIPA UMAARUFU!!!!!!
Msimuliaji................KIDAWA
Umri........18+
Sehemu ya 30 (MWISHO)
Tulipoishia........ Mlinzi wa Kidawa aliyemgeuza mpenzi wake wa siri amehamishwa kikazi Tanga,.....
Songa nayo.....
Maisha yale yakusindikizwa kila sehemu yalinishinda,niliandika barua nikiomba kuondolewa walinzi kwani muda ushapita na istoshe Suma nilishampotezea ivyo mke wake hawezi nifuata tena!
Waziri aliniita ofisini nikaenda,akanishauri nibadilishe maamuzi yangu Ila nikakataa.
Nilirudi nyumbani nikakuta walinzi wameshaondoka zao,nikaona kweli Waziri yupo serious nikatafuta namba ya boss wa kampuni moja maarufu sana ya ulinzi.
Siku hiyo hiyo nikapata mlinzi mmoja wa getini ambaye huyu sasa nitakuwa namlipa mimi!
Ile hali ya kulindwa lindwa ilifanya mpaka marafiki zangu wasinitembelee,nilichofanya nikaanza kuwajulisha shoga zangu kuwa walinzi wameondoka!
Kesho yake Jenny alikuja na begi lake kabisa kwangu,
"Shoga karibu nimekumiss hatari!"
"Mimi Je?nilikumiss sana kiasi kwamba nilitaka nije usiku niwaue kabisa walinzi wako!"
"Unavyoongea kishujaa kama unaweza hata kuua mende!"
"Hahahahaaa!!"
Huo ukawa mwanzo wa maisha yangu mengine ambayo sasa yalikuwa na uhuru mkubwa!!!
Jenny alikuja na tabia zingine ambazo sijui hata yeye alizitoa wapi?
Alikuwa mlevi sana na mtu wa kupenda sana kutoka kwenda sehemu za starehe Karibu kila siku!
Siku moja nilirudi mapema kutoka kazini,nikaingia ndani nikavua nguo zangu kisha nikarudi sebuleni.
Sikumuona Jenny hivyo nikaenda chumbani kwake,nilipofika nikafungua mlango sikuamini nilichokiona!!
Jenny alikuwa uchi kainamishwa nyuma yake bora angekuwepo mwanaume anamshindua!!
Ilikuwa ni kitu ambacho sikukitegemea kabisa.Yule mwanamke alikuwa amevaa chupi iliyokuwa na bakora ya bandia akawa anamtia nayo!!!
Jenny alitoa milio ya ajabu kuonyesha eti anakunwa panapostahili.
Kwangu ile ilikuwa ni laana nisingeweza kufanya vile nilihisi kinyaa nikatoka zangu nikiubamiza mlango kwa nguvu wakashtuka nikaenda zangu chumbani kwangu,Jenny alinichefua sana!!
Baada ya nusu saa aliingia Jenny huku akiwa na aibu sana usoni!Nilimuangalia kwa hasira nikamuuliza!
"Mumeo yuko wapi?"
Swali langu lilionekana kumshtusha sana,akaanza kujikanyaga bila jibu!
"Kusanya kilicho kwako toka kwangu!"
"Kidawa nisame....!"
"Kusanya kilicho chako ondoka kwangu,umekosa nini mboo kibao mnakuja kunitia laana nyumbani kwangu?"
"Lakini ki......!"
"Hakuna cja lakini,nikitoka nisikuone!!!"
"Nisam.....!"
"Toka chumbani kwangu!",nilipaza sauti hadi Jenny akatetemeka kwa hofu!"
Alitoka akachukua begi lake na kila lililomuhusu akaondoka zake.Sikuwa na huruma naye kabisa!!
*************
Nilianza kuishi maisha yangu mapya peke yangu,sikuwa na mpenzi Kidude kiliwasha sana kiasi kwamba ikafikia hatua hadi nashindwa kulala kabisa!Nilikuwa na pepo sio bure!!
Kama unavyojua utajizuia leo kesho kidude kitaamsha tena maruhani!
Nilivumilia mwisho uzalendo ukanishinda na vile nilikuwa bize na kazi zangu za utalii sikuwa na muda wa kutoka,pia mimi ni maarufu ivyo siwezi kwenda kujianika tu bar au club bila sababu ya msingi!
Nilianza kuingia kwenye mitandao ya kijamii hasa Instagram kulikuwa na wanaume wengi waliokuwa wamenitumia meseji za kunitaka kimapenzi!
Nikaanza kuchagua mmoja baada ya mwingine!
Lakini safari hii bahati mbaya ilikuwa kwangu,kila mwanaume niliyekutana nae kama siyo kibamia basi ni bao moja chali!
Hali hiyo ilinifanya nibadilishe wanaume kwa kasi ili kumpata atakaeniridhisha kitandani maana Kidawa nimezoea shoo za kibabe sasa ukija na bao la kuku dah!nakuwa sikuelewi kwa kweli!
Ndani ya mwezi mmoja nilijikuta nakutana na wanaume Karibu 15 na kati yao wote walikuwa hawaniridhishi kabisa kitandani!
Nilikonda kwa mawazo,nikayumba Sana maana bakora nayo inasaidia kukuweka sawa kimawazo hasa kwa sisi tuliozoea kwa wiki hata mara tano au hata kila siku!
Nakumbuka siku moja nilikutana na mwanaume ambaye nilipofika naye ndani nilikubali mashine yake ilikuwa poa sana!
Alipovua nilipoiona tu mate yalinidondoka kitumbua kikalowa kwa nyege zisizo na idadi.
Ilikuwa bakora tamu sana kwa kuiona tu ilisimama haswa!
Tatizo lilikuja baada ya kupeana maandalizi ya hapa na pale tuliamua kula raha sasa,nikajilaza Kidawa mguu bara mguu pwani.
Ila yule jamaa alipojaribu kuingiza tu ikawa inalegea inasinyaa kabisa!
Ila akitoa inasimama akifikisha tu kwenye mashavu ya kitumbua changu inasinyaa!!
"Kwani una matatizo gani?",nilimuuliza maana nilikuwa na hamu balaa!!
"Sijui!"
Huwezi amini yule jamaa aliondoka na utamu wake huku nauangalia uleee nikabaki na nyege zangu nilihisi upweke nilitamani hadi kulia!
**********
Siku hiyo ilikuwa ngumu sana kwangu,najua wanawake mnajua mtu akikunyegesha halafu akakuacha njiani!
Nilioga mara tatu,kidogo nilitulia na usingizi ukaja sasa!
Nililala usiku nikasinzia ndipo nilipoota ndoto kama ile niliyokuwa naiota zamani!
Chumba kama kile kile nilichokuwa nakiota zamani,maradhi yale yale.
Nilikuwa nimelala juu ya kitanda kikubwa kizuri kilichopambwa na nakshi za kipwani pwani!
Ghafla alitokea Jabir alikuwa amependeza sana tofauti na alivyokuwa anakuja zamani,Kama kawaida yake hakuisha kutabasamu Ila siku hii lilizidi maradufu.
Alisogea kisha akakaa pembeni yangu muda wote nilikuwa namuangalia kwa matamanio!
"Kidawa!",aliniita kwa sauti yake tamu yenye kusisimia
"Abeeh!"
"Nina furaha sana leo!"
"Kwanini Jabir!"
"Nimefanikiwa kupata dawa sasa naweza kukugusa na kufanya mapenzi na wewe!"
Nilishtuka nikajua Jabir anaweza akanitupia tena ile nuksi niliyotolewa na Bi Mwana!
Jabir ni kama alikuwa mawazoni mwangu aliniangalia kisha akacheka kwa sauti.
"Hahahahaaaa!punguza hofu Kidawa maana nimekuja jumla jumla!"
Hapa kuna watu wanakusubiri kwetu ujinini naondoka na wewe leo!
"Jabirrrrr!!!unanipeleka wapi?"
"Kaka zangu wameoa na dada zangu wameolewa ni zamu yangu sasa tunaenda kufunga ndoa!"
"Mbona ghafla hujanitaarifu!!"
"Umeniudhi sana,juzi tu kidogo ulale na mwanaume aliyeathirika nikazuia,nikuache duniani uendelee kufanya ujinga wako,utaishi ujinini kama mkewangu wa ndoa!"
"Jabir basi ngoja nikamuage baba na mama yangu!"
"Huwezi kufanya ivyo nimemtuma jini Sabrat kuanzia kesho ataishi kama wewe duniani,yani atavaa sura na kila kitu chako,hivyo hata ndugu zako hawatojua kama umepotea!"
Nililia nikitamani Jabir anisamehe nirudi duniani lakini hakufanya ivyo!!
"Jabir naomba uniache duniani"
"Umeshachelewa Kidawa aliyekupa Shanga hakukwambia uje uwe malaya ubadilishe wanaume kama daladala za Kariakoo!Nadhani huko aliko anajuta kukupa Shanga zake!"
Jabir alisimama mbele yangu akanishika mikono Kisha akanikumbatia akaniambia!
"Ndiyo tunaanza safari Kidawa!"
Machozi yalinitoka nikalia kwa uchungu sana,sikutaka jabir anipeleke ujinini.
Ghafla ulitokea upepo kama wa kimbunga ukatuchua tukaanza kupaa angani.
Tukiwa angani Jabir alijigeuza na kuwa yale mandege makubwa yenye umbo la 🐉 dragon mi nikawa mgongoni kwake safari ya kwenda ujinini ikiendelea!!!
SIMULIZI HII ITAENDELEA TENA ,JIANDAE KWA SEASON YA PILI KUONA MAISHA YA KIDAWA UJININI NA JINI SABRAT ALIYEVAA SURA YA KIDAWA KUJA KUISHI DUNIANI KAMA KIDAWA!
Chapter closed...
Cc: mahondaw