Simulizi:The President and I(Mimi Na Rais)

Simulizi:The President and I(Mimi Na Rais)

IMG-20190108-WA0000.jpeg

IMG-20190102-WA0027.jpeg

Wakati tunasubiria mwendelezo mm namalizia huku riwaya za zamani hapa..

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Sabinasi na Majita hawataki mchezo, ika Piusi kujitoa kwamba hakushauri suala la silaha za nuclear kutamponza
 
Namhurumia Pius, wakina h
Joe tayari wameshamzidi ujanja wakati huo huo kajiharibia kwa kuseha hakukubaliana na suala la silaha.

Ukiwa na furaha Sana ni rahisi kufanya upumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
E.J. Shigongo hua simwelewi kabisa wakuu..Nimeshindwa kuvimaliza hivyo vitabu
20190221_132239.jpg

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Hahahahaha vitabu vikubwa kuliko biblia.

Unasoma mwaka mzima hivi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa ila mm nasoma haraka sana sijawahi kuona.. labda kiwe kitabu kinachohitaji uchambuzi kama vy falsafa na Tech... Biblia nilipokua form one niliisoma yoooote kwa siku tano. Niliisoma kama hadithi tu ili nijue visa vyake.
Kuna kama hivi hapa
Inatakiwa uende slow slow huku ukitafakari lasivyo utatoka mtupu au kitakuboa..
IMG-20190101-WA0007.jpeg
20190208_143322.jpg

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Hahaaa ila mm nasoma haraka sana sijawahi kuona.. labda kiwe kitabu kinachohitaji uchambuzi kama vy falsafa na Tech... Biblia nilipokua form one niliisoma yoooote kwa siku tano. Niliisoma kama hadithi tu ili nijue visa vyake.
Kuna kama hivi hapa
Inatakiwa uende slow slow huku ukitafakari lasivyo utatoka mtupu au kitakuboa..
View attachment 1028731View attachment 1028733

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Aisee we kiboko. biblia kwa siku tano?

Ila sishangai Sana maana biblia yenyewe ina simulizi kibao zinazovutia, ukizisoma Kama hadithi lazima uende fasta na haichoshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa ila mm nasoma haraka sana sijawahi kuona.. labda kiwe kitabu kinachohitaji uchambuzi kama vy falsafa na Tech... Biblia nilipokua form one niliisoma yoooote kwa siku tano. Niliisoma kama hadithi tu ili nijue visa vyake.
Kuna kama hivi hapa
Inatakiwa uende slow slow huku ukitafakari lasivyo utatoka mtupu au kitakuboa..
View attachment 1028731View attachment 1028733

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Napenda sana kusoma ila sio kwa speed hiyo. Na kitabu pekee kilichonishinda kusoma kuanzia mwanzo hadi mwisho bila kuruka page ni biblia. Huwa nakisoma kwa kuruka ruka tu.
 
Napenda sana kusoma ila sio kwa speed hiyo. Na kitabu pekee kilichonishinda kusoma kuanzia mwanzo hadi mwisho bila kuruka page ni biblia. Huwa nakisoma kwa kuruka ruka tu.
Namshukuru Mungu kwa hili nasoma speed mno..
Nililelewa kwenye familia ya ki islam while mm ndio mkristo pekee since nina 6yrs so biblia nilikua naiona nikienda sunday tu tena ilikua marachache sana kwenda. So nikawa na hamu nijue visa vilivyomo mule but siwez kuipata. Nilipoanza form one ndio nikarudi kwa wazazi wakristo so nikawa na passion mno kusoma simulizi za mule.
So siku niliyoipata nilianza Mwanzo hadi Ufunuo though ufunuo nilikua naruka coz ni ngumu kidogo kuelewa. But niliimaliza na mpaka leo ipo kichwani kasoro vifungu tu ndio sijui

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom