The Boldly
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,377
- 5,147
- Thread starter
- #381
Hapo ingekuwa sawa kama angeandika hivi; "I and the president" yaani "Mimi na Rais" na siyo alivyoandika ambapo katumia subjective pronoun "I", ambazo zingine ni kama; We,he,she, they.etc. Objective pronoun ni kama; them, him, her,me.
Hizo nilijifunza nikiwa primary darasa la tano miaka hiyo wewe hujazaliwa. Nyie Watoto wa siku hizi ni bure kabisa vichwani.😁😁😁😁
Anarekebisha nini sijui huyuMkuu, yeye sio mtunzi amekopi na kupaste shida nini??? Upewe source ya habari bas ukamrekebishe huko, hata hivo sio busara kumuita mwenzio mjinga ina mana nawe wajua vyote chini ya jua hili??? Kama hataki kuelekezwa si basi kulazimishana huko kueleweshana vipi?