Simulizi:The President and I(Mimi Na Rais)

Anarekebisha nini sijui huyu
 
Unajua mwenye uwezo wa kurekebisha kichwa cha habari hapa jamvini ni nani?

Na kama unajua, kwa nini upoteze muda wako kumrekebisha mtu ambaye hahusiki na utunzi wa riwaya hii zaidi ya kuichukua kama ilivyo na kuileta hapa?
Kichwa cha habari chenyewe hakiko vizuri; "The president and I" badala ya "I" ingekuwa "Me", na ingekuwa na maana ya "Rais na mimi".

Kwanza Kajifunze matumizi ya objective na subjective pronouns katika sentensi.
 
Tufanye umeshinda, ni hilo tu au kuna kingine unachokitafuta?

the Legend☆
 
Yeye angesema amekopi, wala isingekuwa shida.

Na nani aliyeanza kumwita mwenzake mjinga kati yangu na yake??, yeye ndiye aliyeanza.

Na mimi sijasema wala sitawahi kusema kwsmba najua kila kitu, ilavkwa kile ninachojua ni wajibu wangu kuwajuza watu. Sasa kosa langu ni lipi hapo??.
 
Anarekebisha nini sijui huyu

Sio sawa kusema "The president and I," inatakiwa kusema "I and the president" au inatakiwa kusema "The president and me."

Chukua huu mfano, Kama jinsi ni kosa kusema; "The president and he" badala ya kusema "The president and him".
 
Tufanye umeshinda, ni hilo tu au kuna kingine unachokitafuta?

the Legend☆

Mimi sitafuti ushindi wala siuhitaji, mimi ni mpenda ukweli na pia mimi ni mtafuta ukweli na pia nataka watu waujue ukweli, na Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Na wewe uwe mpenda ukweli, because a truth will set you free.
 
Sio wewe ambae ulianza kwa kusema mimi ni mtoto wa juzi, tena ni bure kabisa kichwani? We unanifahamu mimi au unaropoka tuu?

the Legend☆
 
Hii hadithi nilitokea kuipendas ana ila hii ya kuja unakuta sehemu ya kumi na sita mara ya tisa, imenifanya niachane nayo
 
Sio wewe ambae ulianza kwa kusema mimi ni mtoto wa juzi, tena ni bure kabisa kichwani? We unanifahamu mimi au unaropoka tuu?

the Legend☆

Samahani sana, naomba unisamehe kwa hilo, haikua nia yangu "kukutusi" bali ilikuwa ni katika kukutania na ndiyo maana pale kwenye ile post niliweka gestures hizi 😁😁😁😁
 
unajua shida mi nachanganya devices situmii cm pekee sasa nakuta na mambo meusi tuu, alafu wewe mwarabu wamekutag, vitu vinashuka kwako auto, mimi kama kuku wa kienyeji mpaka nichakue chakue
Yaan we mwarabu kila story ni kulalamika tu mbona sisi tumesoma episode zote hivyohivyo soma tu utaelewa vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani sana, naomba unisamehe kwa hilo, haikua nia yangu "kukutusi" bali ilikuwa ni katika kukutania na ndiyo maana pale kwenye ile post niliweka gestures hizi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huo sasa ndo uungwana. Pamoja na kua jf hatuonani ila ni vyema kuheshimiana, hata inapotokea watu mkipishana kwa hoja ni vyema kuwekana sawa kiungwana, bila kuvunjiana heshima. Samahani sana pia kama nlikukwaza in one way or another

the Legend☆
 
Hizo tag zenyewe hata notification sipati shida ni hapo unapochanganya devices pole mno mwarabu
unajua shida mi nachanganya devices situmii cm pekee sasa nakuta na mambo meusi tuu, alafu wewe mwarabu wamekutag, vitu vinashuka kwako auto, mimi kaka kuku wa kienyeji mpaka nichakue chakue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo sasa ndo uungwana. Pamoja na kua jf hatuonani ila ni vyema kuheshimiana, hata inapotokea watu mkipishana kwa hoja ni vyema kuwekana sawa kiungwana, bila kuvunjiana heshima. Samahani sana pia kama nlikukwaza in one way or another

the Legend☆
Ebu katuwekee story uko ya mkono wa chuma mnalipwa na haya mabishano
 
Yeye siomtunzi hayo makosa ya kingereza ingefaa ukamueleza mhusika direct
Sio sawa kusema "The president and I," inatakiwa kusema "I and the president" au inatakiwa kusema "The president and me."

Chukua huu mfano, Kama jinsi ni kosa kusema; "The president and he" badala ya kusema "The president and him".
 
Kosa lako ni kua mbishi na usietaka kuelewa tushakwambia ye sio mtunzi amekopi na kuweka hapa umesoma episode ya kwanza ushakimbilia kukoment bila kuuliza ndio nyie mkikuta watu hamsalimii mnaendelea na mambo yenu mnakuja shtuka njia mnayopita nnaingia chooni kwa mtu mnarudi kwa aibu
 
There you are, huu ndio uungwana sasa
Samahani sana, naomba unisamehe kwa hilo, haikua nia yangu "kukutusi" bali ilikuwa ni katika kukutania na ndiyo maana pale kwenye ile post niliweka gestures hizi 😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…