Simulizi:The President and I(Mimi Na Rais)

Habari!

Habari njema! Kitabu chako pendwa cha Mimi na Rais (The President and I) ambacho ulitoa oda mapema kipo tayari na kitaanza kusambazwa kuanzia Jumatatu ya wiki ijayo (tarehe 15th Julai).


Pia, tungependa kukufahamisha kuwa tutazindua kitabu chako cha MIMI NA RAIS siku ya Jumamosi ya tarehe 13 Julai, Ofisi za SmartCodes, Mikocheni A kuanzia saa tisa alasiri hadi saa kumijioni.


Ikiwa ni kuunga mkono na kuhamasisha kazi za uandishi wa fasihi kwa kizazi kipya cha waandishi Tanzania na Afrika kwa ujumla, siku ya Uzinduzi kitabu kitauzwa TZS 30,000 tu na baada ya hapo kitaendelea kuuzwa kwa bei ya TZS 18,000 tu.


Kuwa wa kwanza kujipatia kitabu hiki ambapo siku ya tukio, vitabu vyote vitasainiwa na Mwandishi wa Kitabu Lello Mmassy pamoja na Mwandishi nguli, Richard Mabala ambaye atakuwa mgeni maalumu katika shughuli ya Uzinduzi.


Ikiwa utahudhuria, tafadhali jibu baruapepe hii ili kuthibitisha.


Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.

--
 
Siku ya uzinduzi kinauzwa 30,000 then 18000 baadaye, sijaelewa.
Anyways, Mimi nasubiria baada ya ufunguzi
 
Looo matendo ninayoyasoma humu kuhusu costa yanafanana kabisa na pogba 100%
 
Reactions: ADK
Mkuu kwanza asante kwa tungo nzr kimsingi nmeisoma nkiwa nimechelewa, ninachotaka kujua au kama kunamdau anajua, je hadithi imekomea hapo? Na kuwa hakuna utaratibu wa kuipata mpka kununua kitabu?

Natanguliza shukrani
 
Mkuu kwanza asante kwa tungo nzr kimsingi nmeisoma nkiwa nimechelewa, ninachotaka kujua au kama kunamdau anajua, je hadithi imekomea hapo? Na kuwa hakuna utaratibu wa kuipata mpka kununua kitabu?

Natanguliza shukrani
Inaendelea Kwenye kitabu na kimeishatoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…