Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Mbona kemeshakamilikaMwandishi amesema ana andaa kitabu kimikamilika atatujulisha.
Au ?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kemeshakamilikaMwandishi amesema ana andaa kitabu kimikamilika atatujulisha.
Siku ya uzinduzi kinauzwa 30,000 then 18000 baadaye, sijaelewa.Habari!
Habari njema! Kitabu chako pendwa cha Mimi na Rais (The President and I) ambacho ulitoa oda mapema kipo tayari na kitaanza kusambazwa kuanzia Jumatatu ya wiki ijayo (tarehe 15th Julai).
Pia, tungependa kukufahamisha kuwa tutazindua kitabu chako cha MIMI NA RAIS siku ya Jumamosi ya tarehe 13 Julai, Ofisi za SmartCodes, Mikocheni A kuanzia saa tisa alasiri hadi saa kumijioni.
Ikiwa ni kuunga mkono na kuhamasisha kazi za uandishi wa fasihi kwa kizazi kipya cha waandishi Tanzania na Afrika kwa ujumla, siku ya Uzinduzi kitabu kitauzwa TZS 30,000 tu na baada ya hapo kitaendelea kuuzwa kwa bei ya TZS 18,000 tu.
Kuwa wa kwanza kujipatia kitabu hiki ambapo siku ya tukio, vitabu vyote vitasainiwa na Mwandishi wa Kitabu Lello Mmassy pamoja na Mwandishi nguli, Richard Mabala ambaye atakuwa mgeni maalumu katika shughuli ya Uzinduzi.
Ikiwa utahudhuria, tafadhali jibu baruapepe hii ili kuthibitisha.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.
--
Jaman mwandishi anatoa kitabu siku si nyingi jiandaeni huu mweziView attachment 1086377
Mkuu kwanza asante kwa tungo nzr kimsingi nmeisoma nkiwa nimechelewa, ninachotaka kujua au kama kunamdau anajua, je hadithi imekomea hapo? Na kuwa hakuna utaratibu wa kuipata mpka kununua kitabu?Habari!
Habari njema! Kitabu chako pendwa cha Mimi na Rais (The President and I) ambacho ulitoa oda mapema kipo tayari na kitaanza kusambazwa kuanzia Jumatatu ya wiki ijayo (tarehe 15th Julai).
Pia, tungependa kukufahamisha kuwa tutazindua kitabu chako cha MIMI NA RAIS siku ya Jumamosi ya tarehe 13 Julai, Ofisi za SmartCodes, Mikocheni A kuanzia saa tisa alasiri hadi saa kumijioni.
Ikiwa ni kuunga mkono na kuhamasisha kazi za uandishi wa fasihi kwa kizazi kipya cha waandishi Tanzania na Afrika kwa ujumla, siku ya Uzinduzi kitabu kitauzwa TZS 30,000 tu na baada ya hapo kitaendelea kuuzwa kwa bei ya TZS 18,000 tu.
Kuwa wa kwanza kujipatia kitabu hiki ambapo siku ya tukio, vitabu vyote vitasainiwa na Mwandishi wa Kitabu Lello Mmassy pamoja na Mwandishi nguli, Richard Mabala ambaye atakuwa mgeni maalumu katika shughuli ya Uzinduzi.
Ikiwa utahudhuria, tafadhali jibu baruapepe hii ili kuthibitisha.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.
--
instagram.com
Inaendelea Kwenye kitabu na kimeishatoka.Mkuu kwanza asante kwa tungo nzr kimsingi nmeisoma nkiwa nimechelewa, ninachotaka kujua au kama kunamdau anajua, je hadithi imekomea hapo? Na kuwa hakuna utaratibu wa kuipata mpka kununua kitabu?
Natanguliza shukrani
Naomba kushauri, ni vyema pia akaiweka kwenye pdf, ili kurahisisha kwa wasomaji ambao hawawezi kuwa kwenye access ya kupata kitabu...Inaendelea Kwenye kitabu na kimeishatoka.
Mimi nimeshakimaliza ukihitaji nikupe maana nilinunuaNaomba kushauri, ni vyema pia akaiweka kwenye pdf, ili kurahisisha kwa wasomaji ambao hawawezi kuwa kwenye access ya kupata kitabu...
Kalubute, tatzo c kunipa tatzo nakipataje? Kwa dunia ya sasa pdf ni solution kwa baadhi ya matatzo ya kiuandishiMimi nimeshakimaliza ukihitaji nikupe maana nilinunua
Mkuu nakipata vp kwakoMimi nimeshakimaliza ukihitaji nikupe maana nilinunua
Yes kipo Mkuu utakipataMkuu nakipata vp kwako
Ameona hsilipiKalubute, tatzo c kunipa tatzo nakipataje? Kwa dunia ya sasa pdf ni solution kwa baadhi ya matatzo ya kiuandishi
Yes kipo Mkuu utakipata