Simulizi ya Fred Vunjabei na Frank Knows

porojo tu

huyu bwana kuna interview nimewahi msikia alikuwa serikalini na alisha fanya pia mashirika na taasisi binafsi huku akifanya biashara

alipoona amepata mtaji akaamua kuacha ajiajiri leo anasema alikuwa na mtaji mdg porojo tupu
Soma tena ulichokiandika uone ujinga wako umejifichia wapi.....
 
Story nyingi za waliofanikiwa huwa haziakisi ukweli wa mambo waliyopitia. Hawasemagi ukweli hawa watu, pambana kwa njia zako mema yao yachukue yasiyokufaa waachie ila usiwafate 100% utafeli.
Umenena vema
 
mkuu kabla ya kuanza tripu za china kwa maelezo yake alisema alikuwa kasha pata mtaji wa kutosha akaona ateme kazi leo anasema hazikutosha kule china
Hukumuelewa, alisema baada ya kupata mtaji Wa kutosha ndio aliacha kazi, na alipoanza kwenda China alikuwa bado anafanya kazi lakini hakuwa analipwa vizuri
 
porojo tu

huyu bwana kuna interview nimewahi msikia alikuwa serikalini na alisha fanya pia mashirika na taasisi binafsi huku akifanya biashara

alipoona amepata mtaji akaamua kuacha ajiajiri leo anasema alikuwa na mtaji mdg porojo tupu
Umeona ee siamnin kitu Kama hiko
 
Kitu Kama hicho kwa ardhi ya Tanzania kwa miaka sizani Kama kipo kabisa mtuache aisee watu wametoa pesa kwa promo basi lazma wapromotiwe
 
Ivi fred vunja bei na fabian ngajilo Ni ndugu....
 
Ila kwa trend ilivo sasa naona kama Fred vunjabei ana mafanikio kuliko frank knows ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…