zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
eeeeh waaah msikilize kule alafu njoo usome bandiko lake hapa utajua tofauti mkuu.Siyo krauzi ni EFM alikuwa Bdazeni mzee
ama nasema uongo ndugu yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eeeeh waaah msikilize kule alafu njoo usome bandiko lake hapa utajua tofauti mkuu.Siyo krauzi ni EFM alikuwa Bdazeni mzee
Mimi nimempa ndugu yangu mtaji wangu wote ( 1 million),, tulikubaliana tukafanye biashara flani hapa jijini mwanza.Huo urafiki safi sana! Nawaza hivi ningeweza kweli nimpe rafiki mtaji wangu wote aaah🤔
Kuna watu huwa wanaajiriwa anafanya kazi hata miaka mitano anaona ana mapumbu matupu, anaamua kuacha kazi kwa mtaji mdogo kabisa na anafanikiwa.Porojo tu
Huyu bwana kuna interview nimewahi msikia alikuwa serikalini na alishafanya pia mashirika na taasisi binafsi huku akifanya biashara.
Alipoona amepata mtaji akaamua kuacha ajiajiri. Leo anasema alikuwa na mtaji mdg, porojo tupu.