Simulizi ya Fred Vunjabei na Frank Knows

Simulizi ya Fred Vunjabei na Frank Knows

Huo urafiki safi sana! Nawaza hivi ningeweza kweli nimpe rafiki mtaji wangu wote aaah🤔
Mimi nimempa ndugu yangu mtaji wangu wote ( 1 million),, tulikubaliana tukafanye biashara flani hapa jijini mwanza.

nimeona gharama za kwenda huko, kula, kulala, usafiri, nk bora aende yeye mi niko napambana kivingine.

bora pesa zangu zifie kwa ndugu yangu kuliko rafiki
 
Porojo tu

Huyu bwana kuna interview nimewahi msikia alikuwa serikalini na alishafanya pia mashirika na taasisi binafsi huku akifanya biashara.

Alipoona amepata mtaji akaamua kuacha ajiajiri. Leo anasema alikuwa na mtaji mdg, porojo tupu.
Kuna watu huwa wanaajiriwa anafanya kazi hata miaka mitano anaona ana mapumbu matupu, anaamua kuacha kazi kwa mtaji mdogo kabisa na anafanikiwa.
 
Work hard improve huu msemo wa work hard wanautmia waliojriwa ilihali wako limited with money
 
Back
Top Bottom