Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
nshaona we shusha madude mengi mengi mkuuTayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nshaona we shusha madude mengi mengi mkuuTayari
shushaaa imeisha?Sawa najitahidi niendelee kushusha, hii ni simulizi ndefu sanaa
Inaendelea soonshushaaa imeisha?
Kama umesoma kuanzia mwanzo hadi nilipoishia na haujelewa basi nakushauri nenda kuacha gie kwenye uzi wa "KULIWA KIMASIHARA"hii hadithi hata sijaielewa kabisa yaani hata sijui inahusu nini..naona mtafutano tu lakini sijui chanzo chake naona ni mkasa tu na mapambano bila kisa cha uhasama wao ilikuwaje wakafika huko kwenye mapambano..kwa kweli mtunzi hujapangilia vema matukio yako hayaeleweki walau tuunge dot tujue story inahusu nini na kina amina wanapambania kitu gani na vita vilianzia wapi hadi kufikia mshikemshike huu..mtunzi unafeli wapi mpangilio wa hadithi yako.
ati nini hahahahaaaaKama umesoma kuanzia mwanzo hadi nilipoishia na haujelewa basi nakushauri nenda kuacha gie kwenye uzi wa "KULIWA KIMASIHARA"
Ingeisha ungeambiwaNdio imeisha??
huna ujualo na hujui utunzi wa hadithi wala hujui kupangilia matukio na hivyo unavyotumia AI ndio kabisa unaharibu..eti nawe unajiona bonge la mtunzi kumbe garasa tu mapumba matupu unaandika kwa kutumia AI choko kweli..kwa uandishi wako huu wa AI peleka facebook kwa wanafunzi wenzio.!Kama umesoma kuanzia mwanzo hadi nilipoishia na haujelewa basi nakushauri nenda kuacha gie kwenye uzi wa "KULIWA KIMASIHARA"
Kwanza kabisa CHOKO NI WEWE NA WANAOKUZUNGUKA! Pia kama uliona sijui kuandika ungeachana kusoma kuliko kuja kujamba Jamba humu andika na wewe za kwako KELBU wahedhuna ujualo na hujui utunzi wa hadithi wala hujui kupangilia matukio na hivyo unavyotumia AI ndio kabisa unaharibu..eti nawe unajiona bonge la mtunzi kumbe garasa tu mapumba matupu unaandika kwa kutumia AI choko kweli..kwa uandishi wako huu wa AI peleka facebook kwa wanafunzi wenzio.!
kafie mbele.Kwanza kabisa CHOKO NI WEWE NA WANAOKUZUNGUKA! Pia kama uliona sijui kuandika ungeachana kusoma kuliko kuja kujamba Jamba humu andika na wewe za kwako KELBU wahed