Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

Ashaona idadi ya wanaoipenda inaongezeka na vile tunavyoulizia akichelewesha bas bora atobolee hapo hapo.
Daah wengine tunaishi na 4000 kwa siku, jero asubuhi, buku jero mchana, buku jero nyingine usiku alaf jero inayobaki tunaunga bando la kuingia JF kusoma riwaya na mengineyo kupunguza stress za ugumu wa maisha ila mwamba kaona 3000 haitoshi

Sie mabraza tunakomaa hapa hapa JF mpaka stori aimalize aisee
 
Kwa wale tusio lipia, tusilalame Sana tukubali tu na yatupasa tuwe na subra maana hatuna namna nyingine
 
Mi Sasa sisomi hadi, mwezi wa 3 ambapo stori itakuwa imefikia tamati
 
Kwa wale tusio lipia, tusilalame Sana tukubali tu na yatupasa tuwe na subra maana hatuna namna nyingine
Na mkilipia Mnaachwa njia panda maana sisi tunaolipia kule whatsapp tunagombana naye kila siku, stori haijaisha na mwendolezo ni wa kusuasua jamaa hakosi sababu na akitoa ahadi hatekelezi kamwe.
So ukitoa buku 6 utapata vipande kadhaa then ukitufikia tulipo unaungana nasi kwenye kuipita dhiki.
 
Clelia Allisanto ndio Athena mwenyewe huyo Demu mwenye ukwasi ni Doris rafiki wa rafiki wa Athena
 
Kuipita dhiki! au ndo ile stage aliyoipitia roma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…