Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

Sema hili dude halichezek hapa bongo labda huko Hollywood , ni budget ndefu sana,
 
Sawa sawa Edina kamatia hapohapo mpaka waseme, tena ikiwezekana fukuza hadi bi Wema akakae huko kwao kila mtu anasema yupo na wewe kwa sababu ya mama na bibi yako ina maana hakuna hata mmoja anaekupenda kwa dhati fukuza wote anza upya na watu wako
 
Back
Top Bottom