Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

Singano fupisha hii hadithi.umeivuta sana inakosa mvuto.nnachokiona utaishia njiani.utatuacha kwenye mataa.tukio moja la Roma kuwa Japan limechukua hadithi yote.
Hii nayo ni sampuli mpya nimekutana nayo! Anatamani stori iwahi kuisha wakati sisi wengine tukikutana na stori yenye creativity kubwa kama hii tunatamani iendelee tu. Maana kila tukio linashawishi kusubiri kitakachofuata. Characters wamekaa vizuri sana. Kwangu ndo kwanza mvuto unazidi.
 
Mimi siku hizi akituma huwa nasoma sehemu za Edna na Roma peke yake. Sehemu zingine hazisisimui!!!!!
hapo husomi Ili kuelewa Bali kupoteza muda.

si ajabu hata malengo ya Yan Buwen huyajui.

hapa hata sishangai usipojua kuwa huyo dogo anayependwa na Edina ni moto wa Roma na Edina ni mamake mdogo.
 
hapo husomi Ili kuelewa Bali kupoteza muda.

si ajabu hata malengo ya Yan Buwen huyajui.

hapa hata sishangai usipojua kuwa huyo dogo anayependwa na Edina ni moto wa Roma na Edina ni mamake mdogo.
Upo sahihi kaka
 
Kitu cha kusikitisha ndugu wapenzi wasomaji ni kuwa mpaka mwisho wa stori Roma hata mtia Edna mpaka mwenye mali atakaporudi seventeen
 
Amle mara ngap masta[emoji23]

kamla mara moja ile ya kiwizii tunatakaa mahaba ya kukubalianaa[emoji23][emoji112] hata na ivoo mpaka sasa dalili hakuna tho mambo yapo bul bul[emoji39][emoji39] nyiee nunueni muenjoy mnapitwa na mengi mjuee
 
Ile mara moja yenyewe hadi Edna aliomba ndoa ile mwamba aligusa masaa mawili mfululizo, uyu Roma ni mimi mtupu[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…