Simulizi ya kipelelezi: Document number 72 (Nyaraka namba 72)

JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)-Simulizi mpya na bora sana ya kipelelezi/kijasusi imetoka rasmi kwa mfumo wa softcopy (nakala laini)

Hii ni moja kati ya movie bora sana iliyopo kwenye maandishi ambayo utaisoma mwaka huu....Kuna mwanaume alipigwa zaidi ya risasi sita kwenye mwili wake kisha akaenda kuzikwa akiwa hai.......Alizikwa porini ambako hakukuwa na binadamu yeyote yule anayeishi LAKINI cha kushangaza mwanaume huyo alikutwa anaishi na yupo hai miaka kumi na mbili iliyo fuatia baadae.....Walichanganyikiwa na ndipo alitumwa BEAST mmoja kwenda kumtafuta ili kujua mtu aliyezikwa anakutwa vipi mtaani! Ni bonge moja la simulizi[emoji119][emoji119][emoji119] NICHEKI UJIPATIE NAKALA YAKO LAINI uendelee kufurahi..... [emoji996][emoji91]

Softcopy yake inapatikana kwa shilingi 5000 tu.

Nicheki WhatsApp kwa namba 0621567672 uweze kuipata yako.

Kama unalipia namba za malipo ni hizi hapa[emoji116]

0621567672

0745982347

FEBIANI BABUYA.

Karibu tuyafurahie maandishi, ndipo chanzo kikubwa cha akili na maarifa kilipo jificha[emoji996].

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwa leo nimeikata kiu yenu bila shaka.

Bado episodes 44 ili tuimalize.

Ukitaka yote nakubwagia kwa 1500 tu.

Lipia hiyo 1500 kisha nicheki WhatsApp nikupe yote mpaka mwisho ili tuuanze mzigo mpya.

Lipia humu

0621567672 (WhatsApp)

0745982347

Zote FEBIANI BABUYA.

Muwe na wikiendi njema [emoji113]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hongera mkuu.Naona hiki kipande kipo kwenye riwaya ya"Ulimwengu wa watu wabaya"
 
Yule bwana naona aliacha uzao wake bongo kabla ya kwenda Japan na ndo maana mama yao calvin jr anazo picha zake ila bila shaka aliwaambia wanae baba yao alifariki.
Yajayo yanafurahisha aisee nahisi mama yao ni yule mtoto wa yule mzee aliyekuwa muuza matunda na akauliwa na wale watu wabaya
 
Ngoja muda uamue mkuu.

Good try [emoji91]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…