Simulizi ya kweli: Niliishi kuzimu siku saba

Simulizi ya kweli: Niliishi kuzimu siku saba

Hivi kwanini tunaendelea kuwabembeleza hawa watu wanaotutesa kiasi hichi' ngoja nirudi mtabaki midomo wazi kweli hamta amini' litakalokua naliwe poa tu nimechoka.
 
Usiniambie na wewe ndio wale wasiotaka shikamoo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mie bado toto, hujaona soga zetu kule Stress free zone na Sakayo asubuhi?
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mie bado toto, hujaona soga zetu kule Stress free zone na Sakayo asubuhi?
Sijasoma post za mwanzo ila usikatae shikamoo ujue
 
ahhaaaa weeee mjukuu buwili tu bu story jamani jamani ila hongera kwa simulizi zako nzuri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa acha uzushi labda ulichukuliwa msukule
 
hawa ni watunga vitabu wanatafuta wateja. utasikia kitabu kipo ununue ili uendelee kufatilia.
 
Dah! Una roho mbaya sana mkuu, maana nikama unataka kufika kileleni halafu inachomolewa.
 
Back
Top Bottom