Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Join me...
 
Mie kiranga tu ndio kilinisukuma maana wageni wetu walikuwa wanapanda nami nikajitia kiherehere. Ila sasa hivi hata mlima uwe kama kichuguu sipangi ng'oo.
[emoji23][emoji23][emoji23] uwii km nakuona..yaan sijawashawishika...unajua kuna sehem zingine unajua kbs kifo unakinusa kbs[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Aisee nahisi na mimi nishaupanda maana kwa hizo pilikapilika hadi mimi huku nimechoka, moyo unadunda dunda, nikaishiwa pumzi, hadi nikalala kabisa, duh kwakweli umepiga bonge la step, I wish siku moja nitaukwea mlima Kilimanjaro, God Bless you.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Heaven on Earth kwa somo zuri umenitamanisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo clip imenikata stim. Nilitaka kwenda na mamsap, hapana. Atanisubiri mweka tu.

Kupanda hapana.

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo clip hata wanaonifaham personally walinisikitikia saana siku nimewapostia.

Usimuache Mamsap nenda nae akashindwe mwenyewe [emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo clip hata wanaonifaham personally walinisikitikia saana siku nimewapostia.

Usimuache Mamsap nenda nae akashindwe mwenyewe [emoji23][emoji23]
Tatizo na mimi ntakua kama mhanga tu maeneo hayo, pumzi tia maji tia maji. Asije kuibuka Fred mwingine akavuna macredit mamsap akanio mc II II [emoji13] [emoji13]

Sema itabidi tuanze kupiga sana jalamba kwenye magorofa hapa town ili tukapandie machame au Umbwe. Nikiwa alone ntakata mzizi wa fitna nipandie Mweka moja kwa moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Haaaa mawazo yako

1. Kwa Marangu gate ni 6days hizo ndio sisi tulitumia

2.Mabweni Mandara na Kibo ndio tulilala tofauti wanawake na wanaume ila pale Horombo katika zile bweni tulilala wanaume na wanawake pamoja.. Kubadili nguo tulikua tunapishana tu.

3. Hizo nguvu za kugegedana utazitoa wapi... labda kama ni mzoefu ila Mimi sikuwazia wala sikuwa na ham na hayo mambo hata kidogo. We panda ukishuka mlima utakuja kugegedana utakavyo

4. Hayo makoti na boots kuna kampuni tulikodisha vifaa vya kupandia ndio maana unaona wengi wetu tuko sare sare.

5. Gharama zinatofautiana kutokana na kampuni unayotumia.. number ya watu katika kikundi.. pia huduma unazochajiwa. Miminililipa 560usd. Ilikua na mjumuisho wa vitu kibao ndani.

6. Ukiishia Kibo.. Horombo ama chini zaidi huwezi kupewa cheti.. Ndio maana unaona certificate iko na vituo vitatu Gilman’s.. Stella..na Uhuru

7. Pesa hurudishiwi labda hayo makubaliano yako ufanye na anaekupandisha mlima mapema..

8. Mkuu ukae week mbili huko kileleni unataka kugundua nini?? Kuna documentary ya CCTV niliangalia wenyewe walilala kule juu wakarudi chini next day..

9. Kuendesha baiskeli inawezekana kwa mfano kwa njia ya Marangu kuna sehem ni tambarare na hazina mawe.. Sehem ya mawe baiskeli inabebwa juu..kama kutoka Kibo kwenda Gilmans pale huwezi kuendesha baiskeli ila ukifika Gilmans kwenda Stella huko mbele baiskeli fresh tu

Mwenye uelewa zaid atakujibu.
 
Asante kwa kunijibu vizuri shemeji yangu..ubarikiwe sana sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…