Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Mwimeeeee....ukute tunapishana tu huko sometime...nakujaWangari, unaweza kuja dm unishauri mambo yetu ya utafutaji Mwime!
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwimeeeee....ukute tunapishana tu huko sometime...nakujaWangari, unaweza kuja dm unishauri mambo yetu ya utafutaji Mwime!
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Sio uongo, ni kweli nililia, siku ya tatu kwenye jiwe la kubusu, home nilikuwa nimemuacha first born wangu ndio kwanza alikuwa ana miaka 4, nikamkumbuka mtoto wangu nikalia kwa sauti, hivi ni nini kimenileta huku.....was fun!Rudi bhana,ulilia inaonesha hahaha.
Au kuna sehemu ulifika ukadhani tayari kumbe bado.
Mambo ya breakfast hayoSio uongo, ni kweli nililia, siku ya tatu kwenye jiwe la kubusu, home nilikuwa nimemuacha first born wangu ndio kwanza alikuwa ana miaka 4, nikamkumbuka mtoto wangu nikalia kwa sauti, hivi ni nini kimenileta huku.....was fun!
Tupe connection mkuuAww thank you so much.
I am working on certain project because of this story.
Tuwasiliane kama bado hujapanda.Hii story ilinitamanisha sana kwenda kupanda mlima kilimanjaro.
One day yes.
Bado sijapanda, ila ratiba ya kipanda nayo bado maana maisha yananipiga chenga.😀Tuwasiliane kama bado hujapanda.
🤣😄😃😀Mwanzo wa kupanda mlima ushaanza kulia [emoji23][emoji23] nimecheka