Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa meshsjigundulia mbwa hawaWaungwana habari ya leo fuatana nami kwenye simulizi yangu hii ambapo niliwahi kwenda kwa waganga wa kienyeji sehemu mbalimbali nchini na nje ya nchi baada ya kukutana na changamoto mbalimbali za kimaisha.
Kiukweli ni vigumu kumjua yupi ni mganga wa kweli na yupi ni mganga feki ni kama vile ambavyo huwezi kumjua yupi ni mtumishi wa Mungu wa ukweli na yupi ni feki.Hali hiyo ilinifanya nihangaike kwa waganga mbalimbali ili kutatua changamoto zangu.
Wale ndugu zangu Walokole na Watakatifu wengine msiokuwa na dhambi mtanisamehe kwa hii simulizi.
Baada ya kumaliza masomo mwaka 2008 niliamua kurudi nyumbani kwetu Chunya na kujiajiri,sikupenda kuajiriwa kwa sababu kwetu Chunya marafiki zangu ambao nilisoma nao shule ya Msingi walikuwa wameishia darasa la saba walikuwa na pesa kushinda wasomi waliokuwa wameajiriwa na Serikali.
Hao marafiki zangu walikuwa machimboni kwa kuchimba au kununua dhahabu.Na Mimi nikajikita kwenye kuchimba lakini kabla ya hapo wakati nilipokuwa nasoma nilipokuwa napata nafasi nilikuwa naenda mgodini,ilikuwa rahisi kwenda machimboni kwa sababu kulikuwa na watu wengi niliokuwa nafahamiana nao.
Baada ya kuanza rasmi kuchimba madini niligundua machimboni kumetawaliwa na ushirikina wa hali ya juu,ndipo na mimi nikaanza kwenda kwa waganga wa kienyeji na kama ilivyo ada ukienda Roma ishi kama Waroma.Safari yangu ya kwenda kwa waganga ilianza kama ifuatavyo:
Mganga wa Ziwa Rukwa
Sikumbuki jina la kijiji ila kilikuwa karibu na ziwa Rukwa,nilienda kupitia Tunduma, naikumbuka barabara ilikuwa ya vumbi, milima, mabonde, miamba na yenye kona nyingi kali nilienda kwa kutumia fuso. Kijiji kilikuwa na Wafugaji wa Kisukuma wengi waliokuwa na mifugo mingi pamoja na wenyeji waliokuwa wakulima hodari wa mpunga kwenye bonde la ziwa Rukwa.
Niliipenda sana lugha ya Wenyeji kwani walikuwa wanaongea kama wanaimba au wanavuta maneno ,aina yao ya uongeaji ilinivutia sana.
Nilifika asubuhi na kumuona mganga,mganga mzee wa zaidi ya miaka sitini alikuwa hana vitu vingi vya kumtambulisha kama ni mganga wa kienyeji, nilimueleza sababu ya kwenda kwake akafanya uganga wake akaniambi usiku wa saa nane tutaenda kumalizia kufanyia uganga wake ziwani kwani huko ndiko kwenye mizimu yake, kutoka kwake hadi ziwa Rukwa kwa miguu ni saa mbili kwahiyo tulitoka kwake saa sita usiku ili tuweze kufika ziwani saa nane.
Tulitoka kwake watu wanne yaani mimi, mganga na watu wengine wawili, tulifika ziwani saa nane kasoro wakati tunaenda ilikuwa rahisi kwa sababu ilikuwa tunashuka tu kasheshe ilikuwa wakati wa kurudi kwani tulikuwa tunapandisha milima, usiku ule nilichoka sana.
Tulivyofika kwenye ufukwe wa ziwa mganga alituambia tugeuge tuangalie tulikotoka kisha alivua nguo zote akasisitiza tusimuangalie,wakati yeye anafanya uganga wake huku anaonge ongea maneno ambayo sikuyajua maana yake sisi wote watatu tulikuwa tunangalia pembeni.
Baada ya muda kidogo kukawa kimya, baada ya kama dakika tano nikasikia naitwa kwa kutajwa jina, sauti ilikuwa kubwa na yenye muungurumo, muda huo sehemu ile ya ziwa tulikuwa watu wanne tu sauti ile iliendelea kuniita lakini mtu aliyekuwa ananiita nilikuwa simuoni ila ilikuwa sauti ya mganga.
Sauti ilinitaka nielekee usawa wa ziwa, mimi kuogelea sijui ila sauti ilikuwa inanitaka niingie ziwani,wale jamaa wakaniambia kwa ukali niingie ziwani maana nilikuwa natembea kwa kusita sita, nilifika ziwani nikaingia kwenye maji nikawa naendelea kutembea kwenye maji kwa kusita sita sikuwa namuona mganga ila sauti nilikuwa naisikia ikiniambia niendelee kumfuta.
Niliendelea kutembea maji yalivyofika usawa wa magoti sauti ikanitaka nisimame nisiendelee kumfuata na mimi nikatii.
Itaendelea.
Sasa hivi najiandaa kwenda Mkwakwani kuwaona watani Yanga dhidi ya Coastal kwenye mechi yao itakayo chezwa saa kumi leo,nawatakia sare tu.
Nielekezeni jinsi ya kuipost hapa maana niliiandika yote imekamilika na ipo kwenye flash.
Unatafuta nin sasa humu au ndo unadhihirisha ulivyompuuzSemina za kipuuzi kma hizi mi sinaga time nazo kabisa😂😂😂😂😂😂
Storry inaeleweka mbona labda wew ndo husomi kwa utaratibu...may be kuna mada umezirukaMoja ya kitu ulichoshindwa kukifuata katika simulizi yako ni utaratibu, yaani umechemsha kwelikweli Daraja la miti yaani umeanza vizuri, baadaye umechanganya soda, energy drink na gambe humo humo nadhani maji yatakuwa chini 😷!.
mmewaunganishajeWengine ushirikiana na wezi kwa kuwapa matumaini feki ya kutokamatwa.Tushawatembezea kipondo waganga kama watatu hivi na kuwaunganisha na kesi za wizi.
Sio kweli. Labda kichwa chako ndio kina shida. Hii story imetulia na inafundisha.Moja ya kitu ulichoshindwa kukifuata katika simulizi yako ni utaratibu, yaani umechemsha kwelikweli Daraja la miti yaani umeanza vizuri, baadaye umechanganya soda, energy drink na gambe humo humo nadhani maji yatakuwa chini [emoji40]!.
Huwezi kuelewa ninacho maanisha na sihitaji kukujibu kwa jazba, NIDHAMU na ADILI navipa nafasi.Sio kweli. Labda kichwa chako ndio kina shida. Hii story imetulia na inafundisha.
Inaendelea....
Mwenye Uzi anazinguaaa, haya someni kisa changu hiki cha Mganga.
Nilienda kwa mganga ili kupata kinga ya mwili dhidi ya wachawi na wanga. Nilipofika kwa mganga akanipokea vizuri. Nikamweleza shida yangu akaniambia sawa haina shida, nikamwuliza shilling ngapi akasema tsh 30,000/-.
Cha Kwanza akanielekeza chumba fulani nikaoge, yale maji yana mixer ya madudu mengi kidgo yalikuwa kwenye mtungi na yamefunikwa, nilikuwa mdadisi niliweza kuona mawe ya baharini, konokono wa bahari na fuvu la mnyama. Alinisisitiza nikiwa naoga ninywe hayo maji kidogo kama nayaonja hivi. Nilipomaliza kuoga nikamwita, mana aliniambia nimstue, akaja na mkia wake nahisi ni wa nyumbu au ng'ombe. Ni mpana na mweusi tii.
Alinipiga nao ule mkia na kuupitisha katikati ya miguu, Mara mikono Kama anafunga kamba kwenye mzigo wa kuni au furushi huku akizungumza na kuwataja watu(kwakuwa tunashea kabila machache nikimwelewa) alikuwa anataja majina ya viongozi wa koo mbalimbali za makabila ya ukanda ninakoishi.
Baadae akaniamuru niende kwenye chumba anachofanyia uganga, Mana anafanyia nyumbani kwake ana nyumba bora tu hata simtank analo, na katika maongezi niligundua kuwa ana trekta kwa ajili ya shughuli zake za kilimo. Kwenye hicho chumba nikakuta zana zake, mizizi mingi na makopo yenye unga wa miti na mbegu za miti, mafuta... Yaani makorokoroko kibao nikakaa kwenye kigoda. Yule mzee akanambia uganga wake Ni wa msumbiji na amerudi siku si nyingi kuchukua dawa mpya, kinga zake yeye Ni hatari sana na yeyote atakayejipiga kwangu nimpe taarifa kwani atamwagua yeye kwa kutoa kiasi cha laki3 Kama Mimi nitaridhia kumgeuza. Alinambia yeyote atakayechota nyayo, mkojo, mate, kivuli, kucha, nywele zangu nk.. kwa nia ovu, atakuwa RIP.
Akamtuma kijana niliyefatana naye akanunue sindano za kushonea nguo kwa mkono, aliporudi akazitwaa zile sindano akaanza kuuchanganya unga wa miti Toka kwenye makopo mbalimbali. Baadae ule unga uliochanganywa akaanza kunipaka sehem mbalimbali za mwili, paji la uso, kichwan kwenye utosi, magotini, kifuani had nyayoni. Akachukua mafuta flani mazito akanipaka mlemle alimopaka dawa ya unga.
Kisha akachukua zile sindano, akaanza kunitoboa sehem zote zilizopakwa dawa ili iingie mwilini. Nilipata maumivu makali hasa kichwan kwenye utosi, huyu hatumii nyembe kupiga chale. Ni sindano inatumika. Kisha akamaliza mwili ukiwa unachemka kwa maumivu.
Akachukua kibiriti, na chupa Kama ya beer hivi ipo tupu. Akaiwasha njiti moja ikiwa na moto akaiweka kichwani mwangu utosini penye ile dawa na mafuta, akachukuwa chupa akaukandamizia ule moto kichwani, Hadi Moto ukazimikia hapohapo, maumivu yake yalikuwa makali sana na yale mafuta yenye mchanganyiko na dawa, yakaanza kutiririka Hadi puani, shughuli hizo zote mganga alikuwa anazungumza tu maneno ya kiganga. Alipomaliza akasema ile dawa imekolea vizuri sana.
Kisha akanipa dawa ya kuoga siku 7 nyumbani, akaniambia toka dakika ile Jambo lolote baya nitakuwa naarifiwa, hata chakula chenye sumu kitamwagika kabla sijala.
Wanga wakikaribia home nitaamshwa.
Nikarudi zangu home kiukweli niliexperience utofauti sana siku za mwanzo, nilikuwa nastuka sana kutoka usingizini hata mchana nikikaa sebuleni usingizi ukianza kunishika tu naweza kuhisi mtu ananitingisha miguu kwa nguvu ili niamke, au nasikia kifaa kizito Kama nyundo kinagonga kichwani paaaa!!Mara moja naamka na pengine naitwa jina langu la kwanza, Mana Sasa Nina watoto naitwa kwa majina yao au jina la ukoo( Kama urio, sanga, massawe, Magufuli) lakini hiyo sauti inaniita jina langu la kwanza alafu naamka na kukosa usingizi tena.
Hali hii kwa sasa huwa inatokea mara chache usiku wa manane na nikiamka huwa ni saa7 au saa8 usiku nikicheki saa yangu.
Sijajua Kama Kuna watu wanapata kikwazo kuniwangia ila nilienda kupata kinga tu dhidi ya wanga na walozi. Sikufata utajiri Wala kufanikiwa kibiashara.
Nimeona Mwenye Uzi huu kakimbiaa
Nimeuchangamsha kidogo.
Huwezi kuelewa ninacho maanisha na sihitaji kukujibu kwa jazba, NIDHAMU na ADILI navipa nafasi.
Unetisha sana mkuu, sasa huoni kama ndo umejipa shida zaidi maana bongo wanga ni daily usiku na mchana hahahaaaInaendelea....

Kigoma ndiyo funga kaziTa
Tanga kuna waganga wa kuagua tu.
Azabu tosha kahaa moto kwenye utosiInaendelea....

Moto uliweka kidonda kichwani. Ila Kilipona faster tu.Azabu tosha kahaa moto kwenye utosi
Hataree sanaaaInaendelea....