Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Haya maneno hayaachi mimi kukupa dawa ...!Sitaki kufa na presha aisee,
acha nijiwahi tu mapema,
Mke haeleweki namjali mpaka sometimes nashinda njaa lakini haya ndo malipo anayonirudishia haya, poa tu ipo siku atamiss uwepo wangu[emoji124] [emoji124] [emoji442]
Vuka boda ukimbie kabisa! [emoji41][emoji41]