Simulizi za the Bold

Hapa mkuu nitaua kuku wawili kwa jiwe moja ujue[emoji41]
Mke wangu clkey simuachi na bibie shunie nambeba na dini nabadilisha niowe wotee!![emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
mm sio muislam [emoji134]
 
Reactions: Lee
Hongera sana Mkuu The bold .

Nlikuwaa katika pita-pita zangu nikaona nikungate sikio kwa haya machache kutoka kwa Jalaluddin Rumi;Anakuambia,

Cheza kama hakuna anayekuona,
Penda kama vile hujawahi kuumizwa roho,
Imba kama vile hakuna atakayekusikia,
Fanya kazi kama vile huna haja ya malipo,
Ishi kama vile mbinguni ni hapa duniani.

Napenda sana kusoma makala zako.Ubarikiwe.
 
Reactions: Lee
Hapa mkuu nitaua kuku wawili kwa jiwe moja ujue[emoji41]
Mke wangu clkey simuachi na bibie shunie nambeba na dini nabadilisha niowe wotee!![emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Jirani hujue tunaheshimiana sana kwenye kahawa

Ngoja Leo ntajitahidi nifike kijiweni nikuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…