Simulizi za the Bold

Simulizi za the Bold

Mbona naona kama "The bold" kapigwa ban? Au labda ni Mimi kutokua mzoefu sana na jamii forums, hivyo sielewi?
 
Daaahh.! Mods naona mmefuta uzi wangu alafu mmenianzishia wa kwenu..

Aya bhana.. Ila sio poa! Mngekuwa mnatupa na sababu za kuubadili/kufuta..
dah nawewe pia BANNED.. why?

mi napenda simulizi zako vile kiswahili kinavyo tiririka humo...

Mi kukaa nchi ya wasojua kiswahili vizuri imeni cost ...so nikipita hapa nasikia raha sana.

Keep up the bold!
 
Shukrani sana mkuu..
 
KWAKO THE BOLD,

Hii story ya vipepeo weusi ni nzuri mno inavutia, nikupe hongera sana!

Nikiwa kama mfuatiliaji wa muda mrefu
(tokea imeanza)

Mpaka hapa tulipofikia, kuna mambo ya kimaadili ambayo unatakiwa kufanya juhudi za makusudi kuyarekebisha ili story hii iwe bora na yenye kufundisha na ambayo, inaweza somwa na watu wa rika zote.

MATUSI,

Kaka, hakuna ufahari au ujanja wa mtu kua anatukana. Hakuna ujanja kabisa wa kutukana, matusi hushusha thamani ya kitu au mtu.

Nakushauri the bold, usitumie lugha za matusi kwenye kuweka vionjo vya story hii, maana matusi yanaondoa utamu wote kabisa.

Tafadhari, fikiria namna nyingine nzuri ya kuweka kionjo ambacho sio matusi ili hadithi hii iwe bora zaidi na yenye kuelimisha na kusomwa na watu wote vijana kwa wazee wenye heshima zao.

Naamini ushauri wangu huu utaufanyia kazi.

Ahsante.
 
Kwangu mm sjaona matusi makubwa aloyatumia bwana Bold.... ninachokiona ni kwamba anajaribu kuonesha vitu vya msingi ambavyo vinaifanya story kuwa hivi ilivo..... and by the way humu hamna mtoto, tuliopo wote watu wazima
 
Back
Top Bottom