Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipendi signature ya Matola!Hehehehe....linakuja!!
Nawaonea huruma nyinyi kama ni wake za watu basi mmekwisha, huu ndio muda madini ya zinc yanafanya kazi kwenye mtarimbo wa mwanamume, halafu wewe mijicho imekutoka tu kwenye computer, badala ya kumpa kipele G akikune.Mhh matola, hulali tena. au kwa ajili kesho ni jpili?
Nakuletea miwani yanguMmmh inasemaje?!
Uzeee siwezi nimesahau kusomaNisomee,......
Nimejaribu soma naona upofu wajaNtakupa zawadi....
Huwezi kumpa zawadi zaidi ya aliyoahidiwa na mdau mmoja jana kwamba baada ya mfungo atamkabidhi mwili wake ili mchungaji achaguwe na ajisevie anachokitaka.Ntakupa zawadi....
Huwezi kumpa zawadi zaidi ya aliyoahidiwa na mdau mmoja jana kwamba baada ya mfungo atamkabidhi mwili wake ili mchungaji achaguwe na ajisevie anachokitaka.
That's is unbeatable gift.
mchakato majimboni tuendelee mkuu, nimeipenda mistari yako hasa hilo kufuri la ziwa victoria, na Tv inaonesha Mahubili ya Mchungaji Masa.Usiwakilize wanaosema ndefu sana. Inayofuata hakikisha ndefu zaidi ya hii. Hiki kisa lazima kije kiwe kitabu- sponsor Ngwanakilala.
Niliposoma hiki kisa niliona kama tuko sebuleni unanisimulia, taa zimezimwa, kuna mwanga wa TV tu huku tuna-share a glass of red wine. Umevaa T-shirt tu na kufuli la siri za viktoria.
Samahani kaka Matola ni hisia na imagination tu they will never come true kwakuwa biashara huwa haichanganywi na starehe.
Usiwakilize wanaosema ndefu sana. Inayofuata hakikisha ndefu zaidi ya hii. Hiki kisa lazima kije kiwe kitabu- sponsor Ngwanakilala.