Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

Nimeisoma neno kwa neno
You are didi great!
 
dah hapa napata picha zawadi lazima amegwe na mwenye duka mana kashapewa andazi.
 
A nice one,nitajitahidi niifuatilie mpaka mwisho.Nashauri iwe inatoka kila jumamosi mpaka itakapoisha,ili iwe rahisi kufuatilia na wewe mwandishi kupata muda mzuri wa kuitayarisha. Otherwise,good job.
 
Asante...

Finally mtu asiyeharakisha mambo!!Ila ntajitahidi kuandika kila nikipata muda na kuweka muendelezo watu wasijeishiwa hamu!!
 
Mi nangoja uhondo maana ilipoishia nlitaka kuclick next nlijua inaendelea'
 
Back
Top Bottom