Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

Unavyochanganya matukio!!
Ni wachache sana tunakuelewa..
 
Hahhaha...Reao bana!!Yani unataka kuniambia sieleweki au inakuaje?!
story ni tamu...
Inaeleweka...nimependa flow yake, unanifanya kila saa kujua what is next.
 
mamkwe nimechelewa kuona hii dah ninahamu kweli ya kujua kilichojiri baada ya kibao
 
mchakato majimboni tuendelee mkuu, nimeipenda mistari yako hasa hilo kufuri la ziwa victoria, na Tv inaonesha Mahubili ya Mchungaji Masa.

Naogopa hayo mahubiri ya masa pembeni kuna wine tena red, mhhhhh
 
Bravo, toa tu kitabu! Unanikumbusha enzi za maji machafu m.m bawji kwenye sani na vitabu vya kikomo, kisasi n.k namna unavyobuni na kupanga mtiririko wa matukio,visa na vibwagizo vyenye kusisimua yaani humchoshi msomaji! Keep it up, unakipaji kama hujadesa tu!
 
Lolzz...umenifurahisha ulivyomalizia!!!ASANTE!!

MKWE usiwe na haraka mama....taratiiiibu utajua kila kitu!!
 
Lolzz...umenifurahisha ulivyomalizia!!!ASANTE!!

MKWE usiwe na haraka mama....taratiiiibu utajua kila kitu!!
.......Nilikwambia subiri watoto walale nitakwambia ukasema leo unalala kwa fomular ya kawaida, haya mbona bado tupo wote?
 
Back
Top Bottom