ChikoTz
Member
- Feb 26, 2019
- 37
- 33
SIMULIZI: Salhat SEHEMU YA 01
Simulizi: SALHAT Sehemu: 01 Mtunzi: Salma Ramadhani Ulikuwa usiku wa manane ulioambatana na radi za kutosha huku mvua nyingi na Kubwa ikiendelea kunyesha katika maeneo ya Arusha mtaana wa Moshono karibu kabisa na uelekeo wa chekereni alionekana msichana mmoja akiwa na Mtoto mdogo mbele ya...