Simuulizi/documentari nzima ya kusisimua kwenye harakati za kuzima moto mlima Kilimanjaro na nilivyoshuhudia kifo mbele yangu lakini nikapona

Simuulizi/documentari nzima ya kusisimua kwenye harakati za kuzima moto mlima Kilimanjaro na nilivyoshuhudia kifo mbele yangu lakini nikapona

Utaonekana una busara sana,ukiishia hapo sehemu ya pili.
Maana msomaji anasoma mpaka analewa kwa kiswaili cha google ambacho kinatumika sana Congo na Kenya,huku Tanzania hakitumiki kabisa.
Paste jukwaa la wakenya wanapenda mlima huu ili kuondoa usumbufu usio na lazima.
Imopoteza mvuto kbsa.
 
#SEHEMU YA TATU
IPO UKINGONI
LEO NINAMUDA WA KUTOSHA NITASHUSHA NONDO PLUS KUMALIZA UTATA WOTE.
WA MONGOZO EDIT NA KISWAHILI FASAHA

KEEP IN TOUCH
 
#SEHEMU YA TATU
IPO UKINGONI
LEO NINAMUDA WA KUTOSHA NITASHUSHA NONDO PLUS KUMALIZA UTATA WOTE.
WA MONGOZO EDIT NA KISWAHILI FASAHA

KEEP IN TOUCH
Hongera sana ila shida kitendo cha kuita uzi wako the thread of the year ni kama uliji overate.
Sasa matokeo uzi wako mwenyewe unakupa stress. Upate shinikizo la damu bure kisa uzi!! Relax mkuu.
 
Hongera sana ila shida kitendo cha kuita uzi wako the thread of the year ni kama uliji overate.
Sasa matokeo uzi wako mwenyewe unakupa stress. Upate shinikizo la damu bure kisa uzi!! Relax mkuu.
Poapoa
 
Ulianza kuandika heading kabla hata ya kujua utakachoandika ni nini!.. siku nyingine usirudie upuuzi wa namna hii!
 
Back
Top Bottom