Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado tunasubiri, umepotelea wapi we mjamaa#SEHEMU YA KWANZA Naleta full documentary nilivyo husika kwenye janga la moto mlima kilimanjaro
Kwanza Mimi nilishapitia mafunzo magumu ya jeshi 843Kj nadhani hii pia ilichangia kuepuka kifo.
Stori inaanza asubuhi 13/10/2020 nilivyofika Marangu mtoni sehemu yenye pilika pilika nyingi na lango nzuri la kuingilia mlimani kilimanjaro..
NAANZA NA PICHA ZA SATELAITI NA ZA KAWAIDA
MARANGU MJINI MAARUFU KAMA MARANGU MTONI
Hapa nilivyofika point ya kwanza nikaanza kuanza safari yamiguu tofauti na wengi waliochukua TAX nikiwa nimekunywa chai na mikate tuu ya asubuhi
Hali ilikuwa tete maana kuna milima na muinuko tuuu
hivyo nilipanda na mguu kilometa za kutosha.
1.Marangu mtoni hadi KINAPA(KILIMANJARO NATIONAL PARK)
Ambazo ni kama kilometer 3 na ni milima na miinuko tu.
2. Marangu mtoni hadi mandara hut,hapo pana umbali wa kilometer 2 na ni urefu wa usawa wa bahari ni futi 8999 zinazoweza kabisa kuondoa pumzi ya mwanadamu na kumsababishia magonjwa ya ki mwinuko nitayaelezea mbeleni.
japo kuna eneo dogo tulipata msaada wagari
View attachment 1605337
3.Mandara hut hadi eneo la tukio pana umbali wa kilometa 4 kasoro maana baadae tulienda horombo maana moto ulituzunguka.
View attachment 1605338
maeneo ambayo tulibakiza kama tungefika ingekuwa n rekodi mpya ya one day climbing na one day coming down,back.
ni..............KIBO
..............Gillman's ni kaeneo ka barafu ambayo ingechukua saa mbili kufika
mwisho....Uhuru peak.
View attachment 1605339
Cha ajabu ni kushuka na mguu hadi getini kama kilomita 7 kwa miguu tena.
ukijumlisha na ya marangu mtoni kwenye kupanda na kushuka ni kilometa 18.nilitembea kwa miguu nikiwa sijala chochote zaidi ya kunywa maji yenye baridi ya -4hai-7.
View attachment 1601515
MARANGU HOSPITALI
View attachment 1601543
View attachment 1601548
View attachment 1601516
HOTELI YA CAPRICORN NA NAKARA
View attachment 1601517
COFEE TOUR
View attachment 1601518
KINAPA(KILIMANJARO NATIONAL PARK) GETINI
View attachment 1601519
MANDARA HUTS
View attachment 1601520
MOUNDY CRATER MAARUFU KAMA MAUNDI CRATER
View attachment 1601521
KILOMETRE CHACHE JUU YA MANDARA NDO KUNAMOTO
View attachment 1601523
HAPA NDO KUMEPAMBA NA KUNAMOTO MKALI ZAIDI ILA UTAKUWA UMEPUNGUA SANA.
KATI YA HOROMBO NA MANDARA
View attachment 1601558
View attachment 1601560
View attachment 1601561
View attachment 1601562
View attachment 1601564
View attachment 1601565
View attachment 1601567
View attachment 1601568
View attachment 1601570
INAENDELEA HIYO NI HIGHLIGHT
MSIWE NA PRESHA UVUMILIVU NITAIFANYIA MODIFICATION UTAKUWA UZI WA MWAKA...THREAD OF THE YEAR
NITAENDELEA LEO NIMEPATA TATIZO KIDOGO NA PC IKO CHARGE.
KEEP IN TOUCH
Hii story imeishia wapi? Au unaitungia kitabu??Nipo
Mwenyewe sikula mzeeeeewKuna mengi hukubahatika kusimuliwa/kukutana nayo katika moto ule. Watu tumetembea siku mbili usiku na mchana bila kula chochote na hii ni baada ya kuchoka kubeba mikate na vile visoda vidogodogo vya coca tulivyogawiwa kipindi tunaanza safari pale kilema gate.
Kwani kipindi nyie mnaanza kazi ya kuzima huo moto kuna makubaliano yoyote mliingia kuhusu malipo?Mwenyewe sikula mzeeeeew
JE MLILIPWA?
Tunaungoja Hapa HapaMuendelezo?