kilimbamula
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,792
- 853
ya ngoswe tumuachie ngoswe,until God noticesJaman mbona Aje ni bonge la hit hapa town? Kwanini jamaa hana show? Kama tatizo ni managment mbona ndo ile ile ya Jide na Jide anapiga show kibao??
Au mziki wake anatoa kisha anaingia kulala asubir watu wamuite King??
Huyu jamaa asipokuwa makini mmmmmm!! Atabaki tu kusema "babriiiiiii!"
Ama kweli home sweet home,na hiyo nayo ratiba asee ama vigodoro//Vipi hujui kama kafunga ....... ratiba hii hapa.
1. Chanika 7/7/2016.
2.Nairobi Kenya. 10/7/2016
3.Gongo la mboto. 14/7/2016.
4.Ukonga. 21/7/2016.
5.Kigamboni. 28/7/2016.
6.Tegeta. 5/8/2016.
7.Geita. 13/8/2016.
8.Tunduru. 20/8/2016.
9.Kisarawe. 26/8/2016.
10.Mkuranga. 4/9/2016.
11.Lindi mjini.11/9/2016.
For more info mcheki meneja wake, booking now kama mji wako haupo kwenye list.
Hii ratiba na mashaka nayo mana inamuonekano wa ratiba za MSAGA SUMU na sio kingKIBA wa leo,othawise nipate source ya hii orodha ya matukio,HomeSweetHomeVipi hujui kama kafunga ....... ratiba hii hapa.
1. Chanika 7/7/2016.
2.Nairobi Kenya. 10/7/2016
3.Gongo la mboto. 14/7/2016.
4.Ukonga. 21/7/2016.
5.Kigamboni. 28/7/2016.
6.Tegeta. 5/8/2016.
7.Geita. 13/8/2016.
8.Tunduru. 20/8/2016.
9.Kisarawe. 26/8/2016.
10.Mkuranga. 4/9/2016.
11.Lindi mjini.11/9/2016.
For more info mcheki meneja wake, booking now kama mji wako haupo kwenye list.
Natafuta namna ya kuiweka hapa naona inagoma.Hii ratiba na mashaka nayo mana inamuonekano wa ratiba za MSAGA SUMU na sio kingKIBA wa leo,othawise nipate source ya hii orodha ya matukio,HomeSweetHome
Unaleta habar gan kk,ingia kwny chanzo chako,then screenshot afu ilete umu ndan au km vip tupe website tukachimbe wenywNatafuta namna ya kuiweka hapa naona inagoma.
Alizuga ila kiimani hairuhusiwSi juzi juzi alikuwepo kwenye show ya bela.....
Watu mna mambo kweli...
Anamalizana na Hans Pope kwanza msimu ujao atavaa jezi ya iliyokuwa club ya soka sasa imegeuzwa kikundi cha ushangiliaji wanajurikana kama Simba sports clubJaman mbona Aje ni bonge la hit hapa town? Kwanini jamaa hana show? Kama tatizo ni managment mbona ndo ile ile ya Jide na Jide anapiga show kibao??
Au mziki wake anatoa kisha anaingia kulala asubir watu wamuite King??
Huyu jamaa asipokuwa makini mmmmmm!! Atabaki tu kusema "babriiiiiii!"
Aisee Kiba nampenda ngoja nae nianze kumfukuzia
huku Makete Njombe anakuja lini mkuu tuwekeni kwenye listiVipi hujui kama kafunga ....... ratiba hii hapa.
1. Chanika 7/7/2016.
2.Nairobi Kenya. 10/7/2016
3.Gongo la mboto. 14/7/2016.
4.Ukonga. 21/7/2016.
5.Kigamboni. 28/7/2016.
6.Tegeta. 5/8/2016.
7.Geita. 13/8/2016.
8.Tunduru. 20/8/2016.
9.Kisarawe. 26/8/2016.
10.Mkuranga. 4/9/2016.
11.Lindi mjini.11/9/2016.
For more info mcheki meneja wake, booking now kama mji wako haupo kwenye list.
Fanya booking sasa,muone huyu dada. Seven (@sevenmosha) • Instagram photos and videoshuku Makete Njombe anakuja lini mkuu tuwekeni kwenye listi
Atakuchombeza na 'Aje'
Uuuh aje...aje...Dina aje aje...uuh aje aje.
Ucheshi na sauti...umemfanya amekumiss tu
Dina usiogope, Kiba ni kipenzi cha watu
Atafanya pati nyumbani, mahsusi kwa ajili yako
Nimepapenda kwenye mstari.Anamalizana na Hans Pope kwanza msimu ujao atavaa jezi ya iliyokuwa club ya soka sasa imegeuzwa kikundi cha ushangiliaji wanajurikana kama Simba sports club
Rileasing ndo nini?Tuliwaambia video mbovu mkatutukana kwa kutanguliza mahaba mbele acha afie geto so longer as wcb they still rileasing good hit
kumbe we ni team naniiii hayaKiba bila iki haendi.....
Mpaka atengeneze bifu na Mondi ndio apate kiki.
Soon atatengeneza bifu atarudi kwenye mstari tu
Hata mm cjuiRileasing ndo nini?