Simwelewi Alikiba

Simwelewi Alikiba

Jaman mbona Aje ni bonge la hit hapa town? Kwanini jamaa hana show? Kama tatizo ni managment mbona ndo ile ile ya Jide na Jide anapiga show kibao??

Au mziki wake anatoa kisha anaingia kulala asubir watu wamuite King??

Huyu jamaa asipokuwa makini mmmmmm!! Atabaki tu kusema "babriiiiiii!"
ya ngoswe tumuachie ngoswe,until God notices
 
Vipi hujui kama kafunga ....... ratiba hii hapa.

1. Chanika 7/7/2016.
2.Nairobi Kenya. 10/7/2016
3.Gongo la mboto. 14/7/2016.
4.Ukonga. 21/7/2016.
5.Kigamboni. 28/7/2016.
6.Tegeta. 5/8/2016.
7.Geita. 13/8/2016.
8.Tunduru. 20/8/2016.
9.Kisarawe. 26/8/2016.
10.Mkuranga. 4/9/2016.
11.Lindi mjini.11/9/2016.

For more info mcheki meneja wake, booking now kama mji wako haupo kwenye list.
Ama kweli home sweet home,na hiyo nayo ratiba asee ama vigodoro//
 
Vipi hujui kama kafunga ....... ratiba hii hapa.

1. Chanika 7/7/2016.
2.Nairobi Kenya. 10/7/2016
3.Gongo la mboto. 14/7/2016.
4.Ukonga. 21/7/2016.
5.Kigamboni. 28/7/2016.
6.Tegeta. 5/8/2016.
7.Geita. 13/8/2016.
8.Tunduru. 20/8/2016.
9.Kisarawe. 26/8/2016.
10.Mkuranga. 4/9/2016.
11.Lindi mjini.11/9/2016.

For more info mcheki meneja wake, booking now kama mji wako haupo kwenye list.
Hii ratiba na mashaka nayo mana inamuonekano wa ratiba za MSAGA SUMU na sio kingKIBA wa leo,othawise nipate source ya hii orodha ya matukio,HomeSweetHome
 
Hii ratiba na mashaka nayo mana inamuonekano wa ratiba za MSAGA SUMU na sio kingKIBA wa leo,othawise nipate source ya hii orodha ya matukio,HomeSweetHome
Natafuta namna ya kuiweka hapa naona inagoma.
 
Ile yenyewe iliishiliaga moshi iyo ratiba yake ataishilia apo apo chanika
 
Jaman mbona Aje ni bonge la hit hapa town? Kwanini jamaa hana show? Kama tatizo ni managment mbona ndo ile ile ya Jide na Jide anapiga show kibao??

Au mziki wake anatoa kisha anaingia kulala asubir watu wamuite King??

Huyu jamaa asipokuwa makini mmmmmm!! Atabaki tu kusema "babriiiiiii!"
Anamalizana na Hans Pope kwanza msimu ujao atavaa jezi ya iliyokuwa club ya soka sasa imegeuzwa kikundi cha ushangiliaji wanajurikana kama Simba sports club
 
Vipi hujui kama kafunga ....... ratiba hii hapa.

1. Chanika 7/7/2016.
2.Nairobi Kenya. 10/7/2016
3.Gongo la mboto. 14/7/2016.
4.Ukonga. 21/7/2016.
5.Kigamboni. 28/7/2016.
6.Tegeta. 5/8/2016.
7.Geita. 13/8/2016.
8.Tunduru. 20/8/2016.
9.Kisarawe. 26/8/2016.
10.Mkuranga. 4/9/2016.
11.Lindi mjini.11/9/2016.

For more info mcheki meneja wake, booking now kama mji wako haupo kwenye list.
huku Makete Njombe anakuja lini mkuu tuwekeni kwenye listi
 
Atakuchombeza na 'Aje'

Uuuh aje...aje...Dina aje aje...uuh aje aje.

Ucheshi na sauti...umemfanya amekumiss tu
Dina usiogope, Kiba ni kipenzi cha watu
Atafanya pati nyumbani, mahsusi kwa ajili yako

Yeah na hiyo nyimbo ilivyo kali lazima nilainike tu hakuna namna ,
Nyani nae kamdanganya eti Dina ni wa kwake aniogope tena asinichekee eheeee basi mwambie oooh ajeeeee
Bonge la ngoma
 
Me naona haijarishi msanii anapiga show wapi au mkoa gani kikubwa akiwa amelipwa hela inayoendana na hadhi yake, na pia tukubali au tukatae Alikiba ndo msanii anaelipwa vizuri baada ya Diamond, so km ni kweli hiyo ratiba ndo inavyoenda basi atavuna hela yake nzuri sisi tukiendelea kumdhihaki jf
 
Back
Top Bottom