kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
🙄babriiiii
Yoòoooo!!..Kwi kwiii...kaishiwa swaga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙄babriiiii
Info nshapata:Vipi hujui kama kafunga ....... ratiba hii hapa.
1. Chanika 7/7/2016.
2.Nairobi Kenya. 10/7/2016
3.Gongo la mboto. 14/7/2016.
4.Ukonga. 21/7/2016.
5.Kigamboni. 28/7/2016.
6.Tegeta. 5/8/2016.
7.Geita. 13/8/2016.
8.Tunduru. 20/8/2016.
9.Kisarawe. 26/8/2016.
10.Mkuranga. 4/9/2016.
11.Lindi mjini.11/9/2016.
For more info mcheki meneja wake, booking now kama mji wako haupo kwenye list.
Nilidhani kuna shule za kata tu kumbe hadi show za kata zipoVipi hujui kama kafunga ....... ratiba hii hapa.
1. Chanika 7/7/2016.
2.Nairobi Kenya. 10/7/2016
3.Gongo la mboto. 14/7/2016.
4.Ukonga. 21/7/2016.
5.Kigamboni. 28/7/2016.
6.Tegeta. 5/8/2016.
7.Geita. 13/8/2016.
8.Tunduru. 20/8/2016.
9.Kisarawe. 26/8/2016.
10.Mkuranga. 4/9/2016.
11.Lindi mjini.11/9/2016.
For more info mcheki meneja wake, booking now kama mji wako haupo kwenye list.
Hahahahh!! huku kutafuta ugomvi sasa mkuu..Yani kabisa kabisa aje ikusanye watu kwa show....!??
kuna nyimbo za show.
Hahahahah!! Daaaahh waswahili tuna maneno sisiAu anajiangusha makusudi ili aje kusema naamka tena
Nadhani atakuwa anapungukiwa ugaliAsipopiga shoo unapungukiwa chakula mezani kwako?
ushindwe na ulegee,thawaAisee Kiba nampenda ngoja nae nianze kumfukuzia
show inaumuhimu kiongoz wang,kupitia show ndipo fans tunpata mda wa kukutana na cerebritz wetu katka vibes za kiburudanNadhani atakuwa anapungukiwa ugali
acha kukaza jiongeze,ongea point za msing,km ni grammar ama typing error itengue kwny bongo akoRileasing ndo nini?