Simwelewi huyu mwanamke

Kama unataka kumwacha mwambie hujikumwacha nautamtafuata popote atakapo kwenda

Ata ondoka mwenyewe huku akifikiri kweli uta mfuata

Ila usije thubutu kumludia utaumia Kama sio kifo
 
Nipe namba yake nimkanye
 
Si umuache ili uone unavyokufa?😂

Mimi ukinitisha tu utaniua ndo tunaagana muda huohuo nione unavyoniua.
 
Masikini Mimi na roho ndogo yangu ,uwa sisubiri kufika huko naachia ngazi mapema ili kesho nibaki kufurahia kukaa na wazee vijiweni kwa amani
 
Atakuua kweli, namjua vizuri sana.
 


Majini yamekutana, jini kwa lugha rahisi ni binadamu wenye mapepo
 
Ila sisi wanawake 🙆🏽‍♀️Pole kaka usimuache! Au mrudishe tu kidogo nyumbani. Atajifunza.
 
Mmh we huogopiii..?
 
Nione ndugu pembeni nikwambie jambo kama hutojali
 
Wala Huna haja ya kumwacha, kikubwa hakikisha na wewe unanuna milele, yani hata akitaka suluhu vipi hakikisha hukubali, nuna hadi anyoke akili, mimi mke wangu nilimnunia miaka 7 bila kupatana na tunaishi nyumba moja na unyumba tunapeana ila ndo hakuna kupatana wala kuchekeana, miaka 7 mfululizo, baada ya kupatana hadi Leo tunamiaka 20 hajawahi nuna na tulishakubaliana akija kunununa tena ndo tutanuniana mpaka kifo japo hatutoachana......hahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…