Simwelewi huyu mwanamke

Simwelewi huyu mwanamke

Habari.

Nimejikuta namchukia mke wangu.

Nimejikuta simpendi tena.

Kufupisha story kuna mwanamke niliibahatika kuzaa nae hivyo nikaamua niendelee kuishi nae na kutoa mahari kwao.

Ila kwa sasa tuna miaka 2 ila tabia alizoluwa nazo mwanzo tofauti na leo.

Amekuwa ni mtu wa matusi tena ya nguoni ,dharau ,kiburi ana matumizi mabaya ya hela ambayo yamenipelekea niwe mtu wa madeni maana mshahara wangu ni wakaiwada.

Mwanamke Mwenye kujinunisha,kukasirika na gubu na asiyekuwa na muda na ndugu zangu.

Kiukweli mambo ni mengi lakini naomba nifupishe nataka nimuache.

Ninavyoongea hivi Tuna wiki 2 hakuna anayeongea na mwenzake na tuna lala kitanda kimoja.

Ila anadai nikimuacha ataniua
Huyo Kuna step inabidi kutoiacha , always ladies is all about drama
 
Wala Huna haja ya kumwacha, kikubwa hakikisha na wewe unanuna milele, yani hata akitaka suluhu vipi hakikisha hukubali, nuna hadi anyoke akili, mimi mke wangu nilimnunia miaka 7 bila kupatana na tunaishi nyumba moja na unyumba tunapeana ila ndo hakuna kupatana wala kuchekeana, miaka 7 mfululizo, baada ya kupatana hadi Leo tunamiaka 20 hajawahi nuna na tulishakubaliana akija kunununa tena ndo tutanuniana mpaka kifo japo hatutoachana......hahahah
Kwenye Tunda hapo alikuwa anakupaje
 
Yani mtu unamlisha alafu anakununia wiki mbili [emoji848] mchangamshe kidogo huyo unakaaje kizembe namna hiyo au wewe ndio mwenye shida [emoji848]
Nishapiga sana mzee hii goma ngumu
 
Hilo ni chaguo lako 🤣🤣🤣
Tulia mpk mzeeke wote unamuacha unamuachia nani??
 
Ndoa ni changamoto sana,Bora anakununia na anakupikia na Huduma zote unapata,labda humkaza vizuri...maana ukitoka asubuhi yeye anawaza utarudi saa ngapi umkaze!
 
Habari.

Nimejikuta namchukia mke wangu.

Nimejikuta simpendi tena.

Kufupisha story kuna mwanamke niliibahatika kuzaa nae hivyo nikaamua niendelee kuishi nae na kutoa mahari kwao.

Ila kwa sasa tuna miaka 2 ila tabia alizoluwa nazo mwanzo tofauti na leo.

Amekuwa ni mtu wa matusi tena ya nguoni ,dharau ,kiburi ana matumizi mabaya ya hela ambayo yamenipelekea niwe mtu wa madeni maana mshahara wangu ni wakaiwada.

Mwanamke Mwenye kujinunisha,kukasirika na gubu na asiyekuwa na muda na ndugu zangu.

Kiukweli mambo ni mengi lakini naomba nifupishe nataka nimuache.

Ninavyoongea hivi Tuna wiki 2 hakuna anayeongea na mwenzake na tuna lala kitanda kimoja.

Ila anadai nikimuacha ataniua
Mwanamke anakutisha kukuua unatishika!?

Maajabu haya.
 
imekuaje unaoa mtu wa hovyo hivyo? 🤔
 
Hapo kwenye kukuua nadhani ndipo lilipo tatizo!!kama huogopi mkwala wa kufa piga chini huyo kunguru
 
Labda useme tatizo ni nini? Hamkufikia hapo overnight, something happened. Kuwa muwazi tujue tunaanzia wapi
Wakishamzoea mwanaume ndiyo wanavokuwaga, kiufupi kayachoka maisha ya jamaa anayaona ni yale yale ya kushindia ugali dagaa, wali nyama, etc...mwanamke ni mtu wa ajabu tu....

asa ukute ajielewi kama wa jamaa, mimi kuna mwanamke niliishi nae yaani anavo ongea mleta mada unaweza hisi ndo yule wakwangu......
 
Back
Top Bottom