Simwelewi kabisa huyu mpwa wangu

Simwelewi kabisa huyu mpwa wangu

so ile huduma inakuwa ya kusua sua...ningekuwa mkewe ningemkimbiza hosp kwa nguvu zote, raha nyingine zinatimia kwa mikiki mikiki ya kueleweka bwana.

Kweli kabisa...Mwanzoni wanaitwa mwinyi ila ngoma ilifika maximu wanakuwa hovyo kabisa..Utamwone huruma sana...Kulibeba anahitaji msaada wheel barrow!!

Huyo anaweza kufanya lolote kweli?
 
Hahahaha hawakulitoboa kwani?
Maana likitoboka nasikia ana kufa kuna utoaji maji kitalaam huko Kisarawe

pweehhh...kazi kweli....hiyo pic imenipotezea ladha ya tendo kabisa, nimefikiria ingekuwaje?....
 
Hahahaha hawakulitoboa kwani?
Maana likitoboka nasikia ana kufa kuna utoaji maji kitalaam huko Kisarawe

Hehehe nasikia yakikomaa yanakuwa na ngozi thick kaa ya mamba!
 
unachosema ni kweli NN, kuna jamaa nilimuona maeneo ya Bagamoyo, akijambishwa anajipiga dole la mpaka anenda chini huku amefumba macho na tabasamu zito usoni.. wanayapenda watu wa pwani hayo madude

sasa mbona wakifanyiwa hivyo huwa wanajishika kama vile wanaumia sana, na wengine wanatukana kabisa matusi....??
 
Kweli kabisa...Mwanzoni wanaitwa mwinyi ila ngoma ilifika maximu wanakuwa hovyo kabisa..Utamwone huruma sana...Kulibeba anahitaji msaada wheel barrow!!

Huyo anaweza kufanya lolote kweli?


najiuliza y wnabaki nayo wakati ni tabu tupu hii, au uwoga wa operation au cjui kitu gani....
 
Mi nilivyokuwa dogo kujambisha ndo ulikuwa mchezo wangu aisee.

Kuna mlinzi mmoja alikuwa anaitwa Mombasa....huyu jamaa tulimjambisha hadi akaamua kuwa anatembea na manati kwa sababu alikuwa hawezi kutukimbiza. Si unajua tena hayo madude yavyokuwaga makubwa....basi mchizi mkimjambisha tu yeye anawavutia ndonga.

Alikuwa yuko kamili kwelikweli na kiroba chake cha mawe. Uswazi enzi hizo kulikuwa na raha sana.
 
Hapa nimepata jibu sasa ndo maana anapiga piga chenga kwenda kulitoa
Lakini jioni nitamuuliza shangazi mpango mzima je yeye anapenda mpwa aendelee kuwa nalo?

Auntie anaweza akakuyeyusha tu na asikupe jibu la kueleweka kwa sababu ya noma.
 
Nini uhusiano wa Jambisho (lol) na busha?
 
  • Thanks
Reactions: bht
Auntie anaweza akakuyeyusha tu na asikupe jibu la kueleweka kwa sababu ya noma.

Ngoja nipotezee tu maana naweza ambiwa kwani wewe unaumia nini si mwenye nalo analifrahia. Maana uswazi bana
 
Nini uhusiano wa Jambisho (lol) na busha?

Mtekenyo. Ile sauti ya mjambisho ina mawimbi flani flani hivi ambayo busha liko sensitive nayo na hivyo kupelekea kujisikia raha ambayo wanadai ni tamu kuliko climaxing.
 
dah....pole sana mpwa....ni kwamba sijathibitisha sana lakini eti wanasemaga kuna kina mama wanayapenda....mi sijui lakini.....labda mkewe ana lolote la kusema?
Huwa yana joto jingi ambalo kila mwanamke anayeonja hutamani aendelee na huwafurahisha kwa kuenea katika uwanja mzima na kufanya hata nje ya uwanja kuwe na sherehe za hapa na pale kwa miguso,ingawa sijathibitisha ni namna gani wanaruka ila huwa ni karaha sana kwa hasa wanapojambishwa so sio rahisi kwa mtu kupenda kujambishwa labda wanapenda kwa mambo mengine
 
Mtekenyo. Ile sauti ya mjambisho ina mawimbi flani flani hivi ambayo busha liko sensitive nayo na hivyo kupelekea kujisikia raha ambayo wanadai ni tamu kuliko climaxing.

Heeeee shugacake unaongelea kutokana na eksipiriensi ama???
 
Mpwa,

Kuna BM mmoja nlitongozaga kipindi chetu kile. Akanambia kama huna busha usijisumbue. Yawezekana mke wake analipenda, mnataka kumwondolea utamu.

Habari zenu binafsi
 
hahaaaa kumbe muhusika anaweza tu kuli-position atakavyo eeh? hivi sasa likivimba hivo yule 'babu si anakuwa mduchu sana?

Dada,

Watu wanacheka ila huu ugonjwa ni mbaya saaana...Usiombe kukutana na mgonjwa ambaye busha lake liko kwenye level ya heavy weight!!

Mengine ni haya hapa,

IP004_types_eleph.jpg
 
Back
Top Bottom